asante sana Dark City
nampenda sana mama yangu...furaha yangu...uzuri wangu...mafanikio yang yeye ndo mwanga wngu.amepata shida sana juu yangu amenilea hakukata tamaa
jaman tumaanishe upendo kwa mama zetu kwa matendo na mzingira wanayoishi...tuwajali sana
Dark City kwanza najua I owe you an apology...............
pili hongera sana sana kwa wawili wako hao na ukweli najiskia vibaya sijamjulia tena bi mkubwa buheri since you told me kuhusu afya yake. namwombea maisha marefu sana na bibi DC yeye mwambie baadoo kabisa..
nije kwa upande wangu, awali ya yote napenda sana kumshukuru kifua chuma wangu aliyenifanya mimi kuwa mama ukweli utabaki pale pale kwamba he leads others follow.
wanangu many kisses manake sina la kuwaambia ila nawashukuru sana kwa kunifanya niwe very responsible, and accountable kwao. nikikumbuka siku ya kwanza kifungua mimba ananinyonya sikuamini macho yangu pale MNH, na sikuendelea kuamini zaid siku alipotamka neno "a-mama" akijua ndo mama yaani ilinichukua miezi kadhaa kusahahu sauti yake maskion mwangu......kila nilipokaa nilikuwa naiskia ikiniita na mpaka leo i can tell niiskiapo sauti ya mwanangu ikilia hata kama ni katika kundi kubwa namna gani nitajua thats my son analia.
ontop of that kuna mwanamke mmoja tu duniani ambaye ukweli siwez kuacha kumfikiria, kwangu yeye ni zaid ya rafiki, mlezi, mwl, mchungaji,na mama si mwingine ila ni mama yangu mzaa chema........huyu yeye uzuri wake umepita wanawake woooteee duniani na kila miitwapo leo huwa namuombea heri na maisha marefuuu.
nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipo mshukuru kwa dhati kabisa mama mkwe wangu, kwanza kwa upendo wake kwangu, pili kwa heshima na nafasi anipayo ambayo mimi naiona imezidi nafasi ya ukamwana, na mtoto..... barikiwa sana mwl mstaafu na Mungu aendelee kukupa mema ya nchi zaid na zaid. nakupongeza sana kwa kunizalia huyu kifua chuma.
Sio kuiga wewe, watu wanawapenda wamama wao kila siku.Upuuzi mtupu, yaani munapenda mama zenu mwaka mara moja ?
Waafrika acheni kuiga Wazungu. 
Tutakusubiri kwa msafara kuanzia Pongwe!
This is what we have been missing hapa MMU....punguza kupotea teacher wangu!
Mom anaendelea vizuri sana ingawa mwaka jana nilijua ndo mwisho wake.... Ila Mungu anatenda miujiza sana. She is stable now!
Umenikumbusha Mama mkwe....ukweli naye anastahili nafasi ya pekee kwani bila yeye Bibi DC asingekuwa alivyo!
Akina na mama waliopata nafasi na bahati kuleta uhai duniani mnastahili standing ovation kila siku!!
ha haaa, yote maisha babu.......Najua haikuhusu ila ndo dunai hiyo mdogo wangu...watu wengine wana-party, wakati wenzao wako makaburini wanawasindikiza ndugu zao....
ha haaaa, kuna siku mtu aliangaalia picha ya mwanangu mmoja akaniambia "hapa you have lost", nikatabasamu tu, hakujua natabasamu nini............ kile kitendo cha kuona chapa ya mtu kwenye sura ya mwanangu kinaleta tabasamu la nguvuKweli tupu, wababa tunawashukuru kwa kufanya ndoto zetu kuwa kweli. Afu sijui kama wanajua, yaani jamaa kila akisababisha kiumbe kuja duniani upendo unazidi. Sijui sababu na wao sura zao hubaki wa watoto? Wakati wa ujauzito ndio kabisa, ni mwendo wa 'mahaba niue', kuna siku nitafuata mtu kazini nikamsubirie:A S 13:
Na kwa wanaotafuta nawaombea wapate, ni furaha kuwa mama, sana sana.
ha haaaa, kuna siku mtu aliangaalia picha ya mwanangu mmoja akaniambia "hapa you have lost", nikatabasamu tu, hakujua natabasamu nini............ kile kitendo cha kuona chapa ya mtu kwenye sura ya mwanangu kinaleta tabasamu la nguvu
hongera sana dear kwa kupata mama mkwe wa hivyo......umeanza Babu.........ivi wewe huishi kunichokoa??
but to tell the truth..........sijui kwa wanawake wengine ila kwangu mama mkwe ni mtu wa pekee sana.
labda niseme nina bahati hivyo namshukuru sana Mungu manake sijawahi kuona dosari yyte toka kwake toka siku ya kwanza nilipoingia kwenye mji wake. alinikubali kama mtoto, mkwe na kama rafiki yake na mimi nilikubali kuwa hivyo kwake.
makosa ya kibinadamu huwa siyahesabu na ndio maana nasema namshukuru na nampenda sana sana sana Mungu amzidishie kila la heri na kumshibisha siku nyingi.
Anajua.......Swali la kizushi,
Huwa unamweleza haya mhusika??
Anajua.......
Uzuri sisi ni marafiki saaanaaaaaa, yaani hatuna ule ubaba/mama...... tuna urafiki.
Kwa hiyo ni rahisi sana kuongea kwa kila mmoja kwa mazuri na hata yale mabaya ambayo huwa yanatukumba.
I am a Daughter and I love my mother. But most importantly, I am a Mother. I feel blessed to be both. Happy Mothers' Day to all the Mothers out there - keeping in mind that being a mother is much more than just being a biological mother. Baraka Tele kwenu!! :grouphug:
ha haaa, what is the use? yaani niumie kwa ajili yake halafu yeye asijue? lazima nimwambie ajue, ni haki yake kujuaHongereni sana....
Kuna wengine wanayasema nje ila hawathubutu kumwambie mhusika, jambo ambalo ni kupoteza motivation kwa mlengwa!
Swali la kizushi,
Huwa unamweleza haya mhusika??