Most wanted

Cantalisia mwambie Rejao akupe matokeo ya mech ya juzi. ushaanza kuchakachua sridi
 
Last edited by a moderator:
Cantalisia pia anatumia karolaiti nying sana ndo maana Rejao ameng'ang'ania pale
Hahhah hahah haha!
Usilolijua ni km usiku wa giza lol!
Nimechanganyikiwa na pua yake nae kitumbua kimemchanganya basi nyie huku mtasema yote meli yetu ya mapnz hiyo inazidi kuyoyopa!!ina huuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Napita Jamani mkimuona Kongosho mwambieni nimekosa Chapati,kwa hiyo supu yake sinywi
 
Cantalisia mwambie Rejao akupe matokeo ya mech ya juzi. ushaanza kuchakachua sridi
Hata yeye hakuona bana tulikuwa bize ndani ya net ebo!!!

Nipe basi hayo matokeo jaman!!!!

Ukitaka usirias nenda kule sihasa utawakuta wenzio wako sirias km wanafanya mtihan wa hesabu wa fom fooooo!
 
Hahhah hahah haha!
Usilolijua ni km usiku wa giza lol!
Nimechanganyikiwa na pua yake nae kitumbua kimemchanganya basi nyie huku mtasema yote meli yetu ya mapnz hiyo inazidi kuyoyopa!!ina huuuuuuuuuuuuuuuuu!

Rejao mwenyewe alshawah kusema kuwa rang yako ndo inalnda uhusiano wenu. La sivyo angekuwa ameshakupga chn.
Ngosha Rejao kapagawa na weupe wa karolaiti wa Cantalisia
 
Last edited by a moderator:
Hata yeye hakuona bana tulikuwa bize ndani ya net ebo!!!

Nipe basi hayo matokeo jaman!!!!

Ukitaka usirias nenda kule sihasa utawakuta wenzio wako sirias km wanafanya mtihan wa hesabu wa fom fooooo!

Rejao anayo matokeo. Alikuwa anapga chabo goal.com.
Kule ban zpo nje nje.
 
Last edited by a moderator:
Hahha hahah hahah,
Najua hao wote wana wivu wenyewe watajikata km walivofanya mwanzon,
Chezeiya maufundi ya Canta Swty!!

Cantalisia naskia cku hz unachanganya karolait kwenye ugali. Je ni kwel?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…