Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,852
Mkuu, sababu kuu ya kuandika nilichoandika ni kuonyesha kuwa allocation iliotengewa jeshi letu ni kubwa sana compared na lenyu, hata kama hatuna idadi kamili. Its not a factual statement but at least you got what I was insinuating. Am not a war enthusiast, so sina raha sana nikiona serikali yangu ikitenga hela nyingi kwa wanajeshi kuliko idara nyingi muhimu kwa mwananchi wa kawaida, lakini ukweli lazima usemwe.
Km Mmeanza kutenga pesa nyingi na kujenga jeshi lenu ni siku Hizi! Jeshi letu limekua linajengwa miaka yote na hauwezi ukapata Figure kamili ya Sum of
Money! Kwa Hiyo huo mlinganisho wako Bado hauko sahihi!