donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Akikatiza kwetu Iringa,ni bajeti ya mwezi mzima!
Huyo lazima kafabyiwa crossbreeding
Akikatiza kwetu Iringa,ni bajeti ya mwezi mzima!
Kisha tunashushia na ulanzi.
Duh huyo ukimpeleka China atagombaniwa.
Hahah, mkuu sasa wa kumkamata ndio tatizo.
watumia mitego kama ya apocalypto
Hako nikikapiga kabali moja lazima kazime.