Most dangerous things to man

Kamwe huwezi linganisha umasikini na mwanamke mkorofi.
Umasikini ni ukosefu wa mahitaji yote muhimu kwenye maisha yako.

Mke mkorofi utamkwepa lakini umasikini haukwepeki.

Umasikini utakuua haraka kuliko huyo bad wife.
na pia bad wife ana uwezekano mkubwa wa kukusababishia umaskini....
 
Bad wife anasababisha umasikini kivipi tena, wakati yeye kauliza umasikini na mke mkorofi yupi anakukill haraka??

Acha kumuonea bad wife wa watu[emoji23]
bad wife akiwa anatumia pesa vibaya.... si analeta umaskini??
 
Kama wewe utaparamia bad wife na kumuacha wife material,
Wacha upukutike tu hamna namna[emoji23]

Nakazia umasikini ni mbaya kuliko huyo bad wife.

[emoji23][emoji23]Acha kukaza shingo mshamba_hachekwi.
bora kua single tu 😂
 
Stay taliban.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…