A bad and ugly wife are different. I think ugly wife is better than a bad wifebad wife kivipi, sura ama tabia..??? achaga kukurupuka uandikapo/uanzishapo mada
Jama wa utelezi loh, hujawahi kuishi na mke kichomi.Poverty bro ..bad wife labda isiwe na utelezi tu
Jama wa utelezi loh, hujawahi kuishi na mke kichomi.Poverty bro ..bad wife labda isiwe na utelezi tu
hapo umaskini ndio shida... mke unaweza usioeA bad and ugly wife are different. I think ugly wife is better than a bad wife
Mke kichomi unaweza kumuacha ila kuuacha umasikini si Jambo dogoJama wa utelezi loh......., hujawahi kuishi na mke kichomi.....
Umasikini ni rahisi kupambana nao ukiweka jutihada ila bad wife ni betting unaweza ukacha bad wife ukagukia kwenye worse wife....umaskini.... mke mbaya anaachika lakini umaskini kuukimbia ni kazi
Umasikini is manageable lakini bad wife is impossible kubadilika.hapo umaskini ndio shida... mke unaweza usioe
Hakunaga mwanamke kichomi tatizo ni we mwanaume kutaka mwanamke aishi the way unavyofkri , wanawake wanalyfe style Lao Iko hvyo na hawawezi badrika kamwe ... Kama mwanamke wako anazini na ni mchawi hayo ndo maeneo mawili yenye mashiko katika suala la kuachana nayeJama wa utelezi loh......., hujawahi kuishi na mke kichomi.....
Mkuu, Vita ya UMASIKINI, ni vita kubwa kuliko ya nyuklia. kupambana nayo inahitaji Akili, Maarifa, Utulivu, Busara, Ibada, Bahati, Ubunifu, Kujituma, Nidhamu(Ya hali ya juu), Stress, kukataliwa, consistence na mengine kibao.Between poverty and bad wife who kills a man faster?...