Most Beautiful JF Female

Passion Lady imekula kwako akanana mpya aliyempata kwenye sherehe za mashujaaa
Mimi nampendekeza my wife wangu ( hivi hii inakubaliwa TANMO

binamu unantaka?
we kakwambia nani amepata king'amuzi huko?
ohoooooo nitakuja huko nibanane na Dena Amsi mimi
we nipandishe hasira tu hujui mi nyamayo hamu!
 
Last edited by a moderator:

binamu unantaka?
we kakwambia nani amepata king'amuzi huko?
ohoooooo nitakuja huko nibanane na Dena Amsi mimi
we nipandishe hasira tu hujui mi nyamayo hamu!

Si ndio maana Ruttashobolwa anapata kigugumizi cha kumtaja akanana wake wa sasa ambaye alimpata kwenye sherehe ya mashujaaa
 
Last edited by a moderator:
Pacha acha tu, hapa niko kwenye Mgogoro wa nafsi kati ya huyu Nanihii na yule Nanihii ni yupi aibuke kidedea...
Anyway, time will tell

mi najua sina mpinzani
halafu nakuahidi chubuku ya mbege
endapo nitashinda kama takrima,kazi kwako!!
 


Imeandikwa ''AMETUUMBA KWA MFANO WAKE''
amini amini nawaambieni Kila vazi utachaguwa icpokuwa sanda, kila nyumba
uta hama icpokuwa kaburi, kila ki2 utakwepa
icpokuwa kifo, kila cku utaijua icpokuwa cku ya kufa,
hivyo swali kabla hujaswaliwa maana yaweza kuwa
leo au kesho ukatangulia mbele ya haki 2mia hata
dkk 2 kutubu, kwani walio makaburini walikuwa kama sisi
 

shifta, umewaza nini?
Ujue unamtisha pacha wangu Passion Lady
 
Last edited by a moderator:

well,,,.:focus:
 

hahahaaaa!!amesahau anadili na loya
kila kitu kinaenda na evidence!! Mr Rocky jipange!!

We Passion Lady kwani hujui kuwa maloya ndo wanaongoza kwa kuchonga mdomo na kugeuza nyeusi kuwa nyeupe
Ruttashobolwa anajua mwenyewe na hebu muulize kile kisa cha mke aliyechana kufuli la hawara lililoachwa kqene gari ila mkewe akaambiwa amechana evidence ya case ya milioni kadhaaa ndo utajua hao jamaa ni matapeli na waongo mbaya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…