sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Hahahaha sis unakabaaaaa lol
vua kapelo kwanza hiyo tukupimie kama una unywele...
Pacha acha tu, hapa niko kwenye Mgogoro wa nafsi kati ya huyu Nanihii na yule Nanihii ni yupi aibuke kidedea...
Anyway, time will tell
dady nafasi lazima ichukuliwe
na mmoja wa wanao, sweetlady, charminglady Passion Lady
na wengine!! TANMO hope umenisoma meen!!
sisy kukaba mpaka penalti muhimu
wezi wengi humu!!
no.1 my akanana Passion Lady
Chezeiya mabinti wa watu8 lol.... Dady mwenyewe ana uhakika wa ukisemacho sis Passion Lady
Pacha mie nshakuweka kwenye maombi ili tu kuhakikisha atakaeibuka kidedea ataifaa familia yetu..... All the best pacha wangu
Umeonae? Abiria chunga mzigo wako bana
shemejio kasharekebisha kauli
la sivyo futari angeiskilizia kwa jirani leo khaaa!!
Hao uliowataja waje upesi huku lol
mashemeji zangu wakuje
walete ushindi kwny boma!!
Hahahaha nini futari? Daku angeilia kwa mantilie mpaka hizo siku zilizobaki ziishe.... Chezeiya sis Passion Lady yeye, athubutu kukutwa aone lol
Hata kama wameachika kura zao ni muhimu sana waje tu