Most Beautiful JF Female

Most Beautiful JF Female

Mie nadhani i am on top of the list. I am beautiful inside out. Kwa hapo sina mpinzani. I hope i feature in forbes manake hela sina

Acha Bhange wewe, nani amekuruhusu Ujitaje?:ban:
 
Owkey, nimeshapata Piiemu za kutosha kutoka kwa Mabeibez wa Ukwee (Copied from Le Mutuz)
Wito kwa wadada wote ambao bado hamjanitumia Pii Emu zenye Picha zenu ili nithaminishe kabla sijatoa List yangu, fanyeni Hima...
 
kweli hunakazi ya kufanya do something ..............

ukiona nywele zangu utaomba poo. motto mashaallah. ila uzuri wa mkakasi si unajua tena? nywele zinapita tu ila uzuri wangu hauishi kamwee:A S 2152::A S 2152::A S 2152:
vua kapelo kwanza hiyo tukupimie kama una unywele...

haijalishi. manake haitabadilisha the fact kuwa I define beauty:wave:
nina shaka la wewe kutokuwepo kwenye list.

hehehe kwani ulisema tukajitaje piemu?:boxing::boxing::boxing:
Acha Bhange wewe, nani amekuruhusu Ujitaje?:ban:
 
muache amuibie mwajiri. mie mwenyewe leo nazuga tu sifanyi kazi yoyote sana sana nitawasaidia kula lunch yao na chai. na ntaenda msikitini sirudi after lunch (nimefunga dhambi sio misosi)
kweli hunakazi ya kufanya do something ..............
 
Soon nitatangaza Matokeo, wale mliojaribu kunirushia Vocha ili niwapendelee Asanteni sana, nimezipata Vocha zenu..
Ila nitajitahidi kutenda Haki..

Stei Tyun'd..
 
Pacha TANMO kulikoni??? Ndio umeanza zile harakati eeh....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom