Mossad foiled 50 ISIS terror attacks in 20 countries, including Turkey

niruhusu nikikuwekea hapa nimtukane mamaako nipendavyo
 
Sorry, sipendi sana kuingilia mjadara wa Israel na mataifa mengine cause hua umejaa ushabiki Zaidi kuliko hali halisi but nilitaka tu kukwambia, mmiliki wa Facebook ni Myahudi kwa baba na mama
 
mimi ni muislam ila sio muarabu,uyahudi ni dini sio kabila
Ngoja kidog nikupeleke kwenye historia, of course nimeanza kuelewa kwanini unabishana na huyo jamaa alieko huko huko USA/Canada. Hiyo unayo sema dini sio hasa though inafanana, kihistoria, neon Myahudi/Jews limeanza hasa baada ya mfamle Suleman kufariki, huyu Suleman alipokea kijiti cha ufalme from his father David/Daudi, ni hivi, huyu bwana baada ya utawala wake Israel iligawanyika kiutawala, Waisrael waliokuwepo wakati huo hawakumpenda mlirithi wa Suleman so makabila 10 out 12 walijitenga na makao yao makuu yalihamia Samaria then makabila 2 yakabaki Yerusalem, kabila kubwa ni YUDA ambalo ndiko alikotokea Sulema, Daudi, Yesu nk na hata hawa kina Netenyahu na wenyewe ni wa kabila hilo hilo la Yuda, NENO Uyahudi linatokana hasa na YUDA, yaani Yuda kwa Kingereza ni Juda then Jews originated from Jedea, Judea ni sehemu katika taifa hilo la Israel, haipo mbali sana na Yerusalem, Yesu alikua Myahudi pia cause chimbuko lake ni hilo hilo kabila la Wayahudi so kwa kukuthibitishia kwamba Yesu Myahudi na Uyahudi sio dini kama unavyo dhani, maanake kama UYAHUDI ni fini basi Yesu asingekua kinyume nao, dini ya Wayahudi wengi ni Judaism ambayo IMANI yao kwa ukaribu sana inafanana na Wasabato tunao waona huku kwetu, walokole wa huku kwetu, kule kwao wanajiita Messianic believers ambao of course wapo wachache sana, wote hao ni Wayahudi but still wapo Wayahudi ambao hawaamini katika Mungu, mfano ni huyo mmiliki wa Facebook but pia wapo Wayahudi waislamu ndio hao ambao MOSAID huwatumia sana katika operations zao mbalimbali hapo mashariki ya kati; hivi unafahamu kwamba rais wa mwisho wa Iran kabla ya huyu na yeye kwa asili ni Myahudi? But pia ni Muislamu? Wayahudi ni habari nyingine mkuu, wamesambaa sehemu nyingi za mashariki ya kati. Jiulize swali, ilikuaje Osama Bin Laden alivyo piga pale World trade Centre hakuna Myahudi hata mmoja aliyekufa ilihali kulikua na ofisi nyingi tu za Wayahudi? Is because Osama kwenye kundi lake la kigaidi alidhani kaajiri Waislamu wa Kiarabu wenzie watupu, kumbe kuna waislamu waarabu kwa sura but ni damu kamili ya Kiyahudi na hili ndio linali lifanya hili shirika la Kijasusi pale mashariki ya kati kua ni kundi lenye information kamili dhidi yake, yaani jamaa wamejipenyeza everywhere. Hata waliochangia sana ku confirm nyumba aliokua akiishi Osama pale Pakistan walikua hao hao Mosaid wenye asili ya Kiarabu but ukweli ni Wayahudi
 
we jamaa umepagawa nini!!!!...uyahudi ni dini na ndio maana waisrael wana mpango wa kuifanya dini hiyo iwe kwa waisrael tu,sababu watu wengine wanaingia katika hiyo dini(waethiopia),waisrael walishapotea siku nyingi,huyo netanyahu ni mzungu tu wa ulaya mashariki,shambulio la wtc ni kazi ya ndani ya marekani,waisrael walipata fununu wakaambiana waondoke,huwezi shambulia anga la marekani kwa muda wote ule ndege zisishambuliwe
 
Basi sawa, as I said mwanzoni, mjadara wa Israel/Wayahudi huaga umetawaliwa na misimamo ya kidini Zaidi kuliko facts. Naishia hapo, ubishi sipendagi.
 
Uyu Cohen ni mtoto wayule gwiji jasusi wamiak ile ya 1968 mpka kunyongwa 1965 au???
 
Kwani hadi leo unaamini kuwa WTC ililipuliwa na Osama na washirika wake!? Na pia unaamini kuwa Osama aliuawa Pakistan kipindi kile walichotangaza!? Maybe you are kidding bro.
 
Watakaokuelewa ni wale watakaojivua kibanzi cha udini waelewe, Nicolasi Sacoz ni Myahudi, Abromovic, wafanya maamuzi wengi USA ni Israelite Most ulaya and USA monetary and intelligents units and interteinments and medias zinaendeshWa kwa maslahi ya yawahudu ndomana unaona Ulaya wenyeji wengi wanawachukia wayahudi kwa kujua kwamba wanawahujumu na hawana cha kuwafanya, caz jamaa wamepandikiza watu wao kila sehemu yenye maslahi na akizingua unauawa kimafia au unakuwa blackmailed

 
This is purely Israel propaganda
Israel propaganda, who does not know that actually ISIS were created by Mossad and CIA these Intelligence agencies were main financier of this terrorist gang - it thrived under CIA and Mossads watch - they can't fool a nobody.

The truth of the matter is: ISIS terrorists were tamed by a no nonsense Russian Army, Syrian Army, Hezibolla and Iran - Israel were fast asleep awaiting Assad's regime to fall under the pressure of ISIS.
 

What a brilliant analytical mind? Be blessed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…