Moshi: Vijana watatu wa familia moja wauliwa na wanakijiji kwa tuhuma ya wizi wa pikipiki

Huko ni Nyumbani kwetu.

Actually, mob justice ya aina hii imedumu toka enzi.

Kuna mmoja aliwahi kukatwa sikio na plaiz (pliers) na kuamriwa alitafune.

Matukio kama haya yalinifunza mengi sana ikiwemo kuheshimu kitu cha mtu na kuacha udokozi.

Manushi Kati, Manushi Sinde, Manushi Mashariki na Manushi Ndoo ni vijiji katika Kata ya Kibosho Magharibi, Tarafa ya Kibosho, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.

Raia wa huko wana misimamo mikali sana.
Yesuuuu na Maria!!
 
Hao vijana vijana nawapata ni watoto wa Kasamu. Walishawahi kumpiga panga la kichwa Mzee mmoja hapo jirani na kwao. Yule Mzee akadetoriate mpaka akaparlalyse.Huyo Mzee alifariki 2019 na msiba nilishiriki. Pia waliua mama mmoja wakapelekwa polisi wamekaa kidogo wakatoka. Wana matukio mengi Sana in the span of 20 -15 years. Kama kuvumiliwa wamevumiliwa Sana. Ilikuwa inahitajika mmoja a initiate Ili wengine washiriki kuwaangamiza.Sijataja majina ya victims wa hawa wezi kulinda heshima zao.
Halafu unakuta kuna mpumbavu mmoja anajifanya anajua sana haki za binadamu anawatetea hawa
 
Huko ni Nyumbani kwetu.

Actually, mob justice ya aina hii imedumu toka enzi.

Kuna mmoja aliwahi kukatwa sikio na plaiz (pliers) na kuamriwa alitafune.

Matukio kama haya yalinifunza mengi sana ikiwemo kuheshimu kitu cha mtu na kuacha udokozi.

Manushi Kati, Manushi Sinde, Manushi Mashariki na Manushi Ndoo ni vijiji katika Kata ya Kibosho Magharibi, Tarafa ya Kibosho, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.

Raia wa huko wana misimamo mikali sana.
Kumbe kwenu huko?

Hapo kwa kina Kassam ni jirani kabisa.

Wamevunja nyumba yetu na kuiba sana wakati hatupo.
 
Mkuu shida sio kuiba piki piki.unaeza kuta ndo wale wa kuiba kujerui ikiwezekana kuua kabisa.sasa watu kama hao mtaani huogopeka sana na hawaguswag.so.katika hilo.kunamengi.ukiibiwa na kujeruhiwa.ndo utaelewa kwa nini wananch washangilie.japo wamefanya ukatili...
Hao madogo walishashindikana.

Walishawakata mapanga mabibi hapo jirani kwao.

Mpaka majirani wanashangilia ujue hao walikuwa wamezidi kipimo.

Bora walivyoondoka.
 
Hao vijana vijana nawapata ni watoto wa Kasamu. Walishawahi kumpiga panga la kichwa Mzee mmoja hapo jirani na kwao. Yule Mzee akadetoriate mpaka akaparlalyse.Huyo Mzee alifariki 2019 na msiba nilishiriki. Pia waliua mama mmoja wakapelekwa polisi wamekaa kidogo wakatoka. Wana matukio mengi Sana in the span of 20 -15 years. Kama kuvumiliwa wamevumiliwa Sana. Ilikuwa inahitajika mmoja a initiate Ili wengine washiriki kuwaangamiza.Sijataja majina ya victims wa hawa wezi kulinda heshima zao.
Huyo mzee namfahamu.

Hata msibani kwake nilikuwapo.

Hao madogo wameshatuibia sana kwetu.
 
Hao vijana vijana nawapata ni watoto wa Kasamu. Walishawahi kumpiga panga la kichwa Mzee mmoja hapo jirani na kwao. Yule Mzee akadetoriate mpaka akaparlalyse.Huyo Mzee alifariki 2019 na msiba nilishiriki. Pia waliua mama mmoja wakapelekwa polisi wamekaa kidogo wakatoka. Wana matukio mengi Sana in the span of 20 -15 years. Kama kuvumiliwa wamevumiliwa Sana. Ilikuwa inahitajika mmoja a initiate Ili wengine washiriki kuwaangamiza.Sijataja majina ya victims wa hawa wezi kulinda heshima zao.
Dah!...so sad.
 
Pikipiki ni uchafu huwezi kulinganisha na uhai wa binadamu, hao wanakijiji wasakwe na wakamatwe wafikishwe mahakamani kujibu mashtaka ya kujichukulia sheria mkononi iwe fundisho kwa wananchi wenye hiyo tabia katika jamii
Ukitaka kuishi kwa amani bila hiana na mtu, heshimu vitu vya watu.

Kujichukulia sheria mkononi kuna visababishi, hasa "wenye hasira" wakipima sheria inavyowakandamiza wenye haki na kupewa ushindi waporaji.

Tuna maumivu ya kifikra kusikia mauaji ya kiholela kama haya yanayoongelewa sasa yakifanyika, lakini dunia ya wastaarabika tusimame kati kuhubiri amani na siyo kuegemea upande, mfano wa kauli za kwamba pikipiki ya mtu ni uchafu, yaani mali ya mtu ni uchafu, nimestaajabishwa sana na kauli hii!

Vaa uhusika wa kuporwa mali kijambazi uone maumivu ya kisaikolijia yatakavyokuandama!

Jambo hili limekwishatokea, tuliobaki tujifunze kutendeana mema na wa kwanza kutenda wema ni wewe.

Mob justice hawafanyiwi watu wema, bali hufanywa kwa wahalifu, bakia na akiba hiyo kichwani mwako.
 
Kumbe kwenu huko?

Hapo kwa kina Kassam ni jirani kabisa.

Wamevunja nyumba yetu na kuiba sana wakati hatupo.
Poleni. Vijana wa huko wakiwa wahuni basi ni uhuni ulioshindikana na wakiuwawa kesi hamna
 
Back
Top Bottom