Moshi: Vijana watatu wa familia moja wauliwa na wanakijiji kwa tuhuma ya wizi wa pikipiki

Na hao vijana walishindikana hadi polisi
Wakibosho Safari hii mmetuangusha, toka enzi za mababu Mangi Sina, Wanachame hawaruhusiwi kuingia Kibosho kufanya lolote hata kwa Vita.
Sasa mmeshapoteza vibosho watatu, wakati hamna ubavu kuvuka mto kwenda Machame
Kosa kubwa kuua
 
Hao vijana vijana nawapata ni watoto wa Kasamu. Walishawahi kumpiga panga la kichwa Mzee mmoja hapo jirani na kwao. Yule Mzee akadetoriate mpaka akaparlalyse.Huyo Mzee alifariki 2019 na msiba nilishiriki. Pia waliua mama mmoja wakapelekwa polisi wamekaa kidogo wakatoka. Wana matukio mengi Sana in the span of 20 -15 years. Kama kuvumiliwa wamevumiliwa Sana. Ilikuwa inahitajika mmoja a initiate Ili wengine washiriki kuwaangamiza.Sijataja majina ya victims wa hawa wezi kulinda heshima zao.
 
Kama walishawahi kuua basi hiyo adhabu ni sahihi.
 
Vijana watatu wa familia moja katika kijiji cha Manushi kati wilaya ya moshi vijijini wamechomwa moto hadi kufa na wanakijiji wenye hasira kali baada ya kuiba pikipiki kutoka machame.

Vijana hao wajulikanao kama ombeni kasamu, Anorld kasamu, na Marius kasamu wamechomwa moto nyumbani kwao manushi kati na wanakijiji kutoka machame baada ya kuiba piki pikipiki moja huko machame.

Wanakijiji kutoka machame waliwatafuta vijana hao na kwa kushirikiana na wenyeji wa kijiji hicho waliwatoa ndani ya nyumba na kuwachoma moto vijana wawili kati ya watatu ambao ni wa familia moja.,na baadae wenyeji wa kijiji wakamchukua na mdogo wao na. Kuanza kumkata kata mapanga hadi kufariki.

Tukio hilo limeleta furaha kijijini hapo baada ya wananchi kuchoshwa na ujambazi wa vijana hao hapo kijijini.

Tukio hilo limetokea jana kijijini hapo na polisi walipewa taarifa na kuja kuchukua miili ya marehemu hao na Kupelekwa kwenye nyumba ya kuhifadhia maiti moshi mjini.

Hadi sasa haijajulikana miili hiyo itazikwa lini

Hakuna Mwanakijiji yoyote aliyekamtwa kutokana na tukio hilo.

Update
Mazishi ya vijana hao ni kesho jumamosi,
Habari zaidi nitazisogeza hapa

724D90C4-9F5C-46FA-ABE3-5A7E548F9C77.jpeg
 
Hao vijana vijana nawapata ni watoto wa Kasamu. Walishawahi kumpiga panga la kichwa Mzee mmoja hapo jirani na kwao. Yule Mzee akadetoriate mpaka akaparlalyse.Huyo Mzee alifariki 2019 na msiba nilishiriki. Pia waliua mama mmoja wakapelekwa polisi wamekaa kidogo wakatoka. Wana matukio mengi Sana in the span of 20 -15 years. Kama kuvumiliwa wamevumiliwa Sana. Ilikuwa inahitajika mmoja a initiate Ili wengine washiriki kuwaangamiza.Sijataja majina ya victims wa hawa wezi kulinda heshima zao.
Mazishi ni leo, wanakijiji wamefurahia mbaya kabisa, hao walishindikana hadi polisi
 
Hakuna kijiji cha Manushi kati

Kuna vijiji hivi Tuu Manushi ndoo ndio juu na manushi sinde ndio chini
Poleni kwa wafiwa
 
Huko ni Nyumbani kwetu.

Actually, mob justice ya aina hii imedumu toka enzi.

Kuna mmoja aliwahi kukatwa sikio na plaiz (pliers) na kuamriwa alitafune.

Matukio kama haya yalinifunza mengi sana ikiwemo kuheshimu kitu cha mtu na kuacha udokozi.

Manushi Kati, Manushi Sinde, Manushi Mashariki na Manushi Ndoo ni vijiji katika Kata ya Kibosho Magharibi, Tarafa ya Kibosho, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.

Raia wa huko wana misimamo mikali sana.
Poleni sana hila kuna vijiji viwili tuu Manushi sinde na Manushi Ndoo basi
 
Poleni sana hila kuna vijiji viwili tuu Manushi sinde na Manushi Ndoo basi
Manushi Sinde iligawanywa. Ikazaliwa Manushi Mashariki yenye kitongoji cha Shule na Sokoni (Ofisi ipo Soko la Manushi). Manushi Sinde ikabaki na Kitongoji cha Ofisi na Sereni (ofisi ni ilele ya zamani. Mpaka wa hivi vijiji ni barabara ya Weruweru.

Kijiji cha Manushi Ndoo kimemegwa na kuzaa Munushi Kati.

2015 nilikuwa msimamizi wa kura huko na vijiji viligawanywa 2014 wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Mazishi ni leo, wanakijiji wamefurahia mbaya kabisa, hao walishindikana hadi polisi
Ni bahati mbaya sana, adhabu za kifo zimehalalishwa huko kwa watu walioshindikana. Wazazi wangu walikuwa makini sana kuniepusha na haya makundi ya wahuni
 
Back
Top Bottom