nasikia huwa wanakwenda kuhesabiwa na kufanya matambiko huko kila mwisho wa mwaka inapofika...Mji wa moshi umejaa watu sana, kwa mtu ambaye hujawahi kufika na ukifika sasa unaeweza usielewe uhalisia wa mo town magari madogo(private cars) ni mengi hadi kupelekea trafic jam kwa maeneo mengi ya mji huu..wana jf tupeni updates za sehemu mliko...
Abiria wanaoelekea rombo kutoka moshi mjini ni wengi na mabasi hapa hakuna, mwenye usafiri noah, coaster or hiace wasaidieni watu warombo wanataka washerehekee sikukuu kwao..
mimi najiandaa na ibada ya mkesha wa x-mass katika kanisa katoliki la mtakatifu katarina wa siena Mkuu- Rombo wewe je?
Hebu tupia Picha ya Kanisa hapo maana ni kitambo sana, oooh Kanisa langu Mkuu Parish
Sasa nipo Kwasadala...hii barabara ya moshi to arusha ni foleni kupanda daraja la kikavu, ts take 14minutes
trafic kila kona...wish to know about dodoma, morogoro, tanga, mbeya and mwanza! i do believe dar now is a cool place! purukushani za hapa na pale zitakuwa zimepungua..
Jamani wachaga hawaendi kutambika wanaenda kusherehekea pamoja " Tazama ilivyo vyema ndugu kukaa pamoja"
mimi najiandaa na ibada ya mkesha wa x-mass katika kanisa katoliki la mtakatifu katarina wa siena Mkuu- Rombo wewe je?