Moshi town is very clean while Arusha town very dirty | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moshi town is very clean while Arusha town very dirty

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MPadmire, Jan 20, 2010.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hello Jf members!

  Mji wa Moshi ni safi, ni msafi sana, Lakini Arusha ni mchafu sana.

  Mji wa Moshi kuna mpangilio mzuri wa Barabara na nyumba wakati Arusha barabara zipo shaghalabaghala na nyumba msongamano, kupita kwenda nyumbani kwa mtu unapita vichochoroni.

  Arusha na Moshi yote ni miji ya Kitalii, lakini Arusha unavuma zaidi.

  Manispaa ya Arusha inapata makusanyo ya kodi nyingi kuliko Moshi, why Arusha iwe dirty???

  Stand ya Moshi ni nzuri na inanafasi while Arusha is pity.....

  Nani mzembe, madiwani? Mbunge? Halmashauri? Mkurugenzi? Mkuu wa Mkoa? Au nani alaumiwe?

  Why Moshi clean and Arusha dirty??

  Wachaga wanajivunia kulipa kodi maana matunda wanayaona!!!

  From Arusha to Moshi is just an hour travel.....

  HIYO NDIYO GENEVA OF AFRICA....
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  clean then what! kwani watu wanakula usafi? mi mtu wa kule ila maisha yamepinda. no money. si bora nikaishi huko kwenye uchafu lakini napata hela? uchafu unazalishwa kutokana na pilika za kiuchumi kuwa juu. wahongere lakini kwa usafi. wasikose vyote
   
 3. bht

  bht JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mkuu ni kweli a town ni pachafu sana, watawala wake wangeiga majirani zao angalau....
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Yaani kukojoa hovyo kandoni mwa kuta za nyumba , kutupa maganda ya maparachichi , ndizi na miwa barabarani ni pilika za kiuchumi kihivyo? Acha bana. Mimi nilidhani umaskini na uchafu havitenganiki saana . Walioendelea wanajua maana ya usafi zaidi bila shaka. Ili kukutathmini ukoje kiuchumi tunaweza kuangalia level yako ya usafi ikoje pia.

  Kwanza jiulize wenyeji wa mji na wenzao wa Meru na Masai kama wanafahamu vizuri tofauti ya usafi na uchafu. Ebo.

  Manisapaa imelala doro. Kwishnei. Wakaige huko KILI.

  MS hongereni sana .
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  uchumi kuzaa uchafu ina maana ya wingi wa watu na pilika za maisha kama ilivyo bongo. moshi ni safi baada ya wakazi kupungua na maisha kuwa ghali. manispaa ya moshi inafanya juu chini kujipatia kipato kutokana na vyanzo vya kuwawinda wachafuzi wa mazingira
   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Poa.Lakini huo uchafu huthibitiwa kwa kuwa fedha ipo kama ilivyo huko kwingine ulimwenguni. Garbage management and collection - cleaner environments -etc. SASA ARUSHA WALA HAWATHIBITI CHOCHOTE NA HELA HAWANA. SI WATUMIE HIYO KAMA NJIA YA MAPATO KAMA ULIVYOSEMA?

  USAFI NI USTAARABU MKUU, HAMNA CHA KUWATETEA .
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sure ila wangeshafanya hivyo kama wangetaka
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Cleanliness is a virtue!
   
Loading...