MOSHI: Serikali yaifunga bar maarufu ya Meku's Bistro

MOSHI: Serikali yaifunga bar maarufu ya Meku's Bistro

Mbona baa nyingi ziko karibu na vituo vya mafuta! Nani alianza kuwepo, kituo au baa? Mbona vituo vya mafuta vimejengwa kwenye makazi ya watu? Aende mahakamani huko itajulikana kama chanzo ni nyamachoma au mdada.
Kituo Cha mafuta ndio Cha mwanzo,na kimekuwepo eneo lile kwa miongo kadhaa,hiyo baa haikuwa hata na miaka 5 hapo . Anyways wenye mji wakigombana wacha chasaka tukae kimya,kwani tusijeonekana tunaingilia yasiyotuhusu
 
Mkuu ujue pale napafahamu muda mrefu mno tokea wakiwa wakala wa Agip miaka ya 90 kilikua kiko chini ya huyo mzee Mwacha, labla uniambie kama mzee uchumi uliyumba ndio akauza kwa hao oryx. Hata ukiangalia kwenye web ya oryx jina na anuani inayotumika kukitambulisha ni hilohilo la Alphonce Mwacha...
Ninachokuambia ni sahihi..kilikua mali ya agip mpaka agip iliponunuliwa na oryx. Mzee alikua opereta wa petrol station tangi enzi hizo.ila hakuwa mmiliki.
 
Mbona baa nyingi ziko karibu na vituo vya mafuta! Nani alianza kuwepo, kituo au baa? Mbona vituo vya mafuta vimejengwa kwenye makazi ya watu? Aende mahakamani huko itajulikana kama chanzo ni nyamachoma au mdada.
Kituo na bar viko kiwanja kimoja......bar imevunjwa hakuna tena bar. ni kituo cha mafuta tu sasa
 
Ooh amefungiwa kweli? Lini?
Nimeona watu walikuwa hapo hadi mwezi uliopita 28/04. Nawafahamu owner na ndugu zake.

Wameifunga kwa sababu hizo za post #1 au?
Imevunjwa....yeye mwenyewe sijui kama asharudi Moshi
 
Ninachokuambia ni sahihi..kilikua mali ya agip mpaka agip iliponunuliwa na oryx. Mzee alikua opereta wa petrol station tangi enzi hizo.ila hakuwa mmiliki.
mbona Mimi najuaga Mwacha ana Petrol Station na ndio mmoja wa wamiliki wa Ghorofa hapo mjini moshi?
 
nikafikiri wewe ni unaijua Kinondoni na Sinza[emoji23][emoji23] kumbe hata moshi mapumzikoni Dec? I'd nikajuwa ww mtu wa Dodoma kanda ya Kati.
Mm napiga miguu yoteyote mazee

Ova
 
Back
Top Bottom