Nasikia mwenye nayo ni choko. Labda watu hawapendi hiyo mambo hivyo kutafuta sababu.Kinachoendelea nyuma ya pazia kinatisha sana. Wahusika wanasema ni suala lililojaa visa, mikasa na visasi. Ni issue ya ama zangu au zako.
Panapofuka moshi basi chini kuna moto.
Muda utatoa majibu.