mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,921
- 136,893
Nilipo enda hpo Dec vidole juu walikuwa kibao tena wametoka kila kona ya nchi naona walienda kumunga mkono jamaaHahaha sure jamaa ni kidole juu kuanzia kuongea kutembea..
Ova
Nilipo enda hpo Dec vidole juu walikuwa kibao tena wametoka kila kona ya nchi naona walienda kumunga mkono jamaaHahaha sure jamaa ni kidole juu kuanzia kuongea kutembea..
Nilipo enda hpo Dec vidole juu walikuwa kibao tena wametoka kila kona ya nchi naona walienda kumunga mkono jamaa
Ova
Ina maana oryx ndio wamiliki wa lile eneo? Nakumbuka hicho kituo kabla ya kukodishiwa huyu jamaa wa mekuz kilikua ni mali ya familia ya Mzee Mwacha...Hakuna siasa hapo. ....Oryx wamiliki wa eneo hilo wamesitisha mkataba na 'meku'
Ni kweli pamefungwa ila nineshangaa watu wakisema oryx ndio waliomfungia wakati walikua na mgogoro na manispaa muda mrefu...Ooh amefungiwa kweli? Lini?
Nimeona watu walikuwa hapo hadi mwezi uliopita 28/04. Nawafahamu owner na ndugu zake.
Wameifunga kwa sababu hizo za post #1 au?
Naona yametimia jamaa kabomolewa...Kinachoendelea nyuma ya pazia kinatisha sana. Wahusika wanasema ni suala lililojaa visa, mikasa na visasi. Ni issue ya ama zangu au zako.
Panapofuka moshi basi chini kuna moto.
Muda utatoa majibu.
Unavotaja huyo mzee mwacha kama vile jf wote tunamjuaIna maana oryx ndio wamiliki wa lile eneo? Nakumbuka hicho kituo kabla ya kukodishiwa huyu jamaa wa mekuz kilikua ni mali ya familia ya Mzee Mwacha...
Mzee Alfonsi Mwacha alikodi kwa oryx. ni kwa kua alikaa muda mrefu sana mpaka kikaonekana kama chake..Ina maana oryx ndio wamiliki wa lile eneo? Nakumbuka hicho kituo kabla ya kukodishiwa huyu jamaa wa mekuz kilikua ni mali ya familia ya Mzee Mwacha...
Oryx ndio wamiliki. ila jamaa alijenga club bila kushirikisha oryx. kulikua na 'kamgogoro'Ni kweli pamefungwa ila nineshangaa watu wakisema oryx ndio waliomfungia wakati walikua na mgogoro na manispaa muda mrefu...
Cha kujiuliza ni je oryx ndio wamiliki wa lile eneo?
Mkuu ujue pale napafahamu muda mrefu mno tokea wakiwa wakala wa Agip miaka ya 90 kilikua kiko chini ya huyo mzee Mwacha, labla uniambie kama mzee uchumi uliyumba ndio akauza kwa hao oryx. Hata ukiangalia kwenye web ya oryx jina na anuani inayotumika kukitambulisha ni hilohilo la Alphonce Mwacha...Mzee Alfonsi Mwacha alikodi kwa oryx. ni kwa kua alikaa muda mrefu sana mpaka kikaonekana kama chake..
Oryx ndio wamiliki. ila jamaa alijenga club bila kushirikisha oryx. kulikua na 'kamgogoro'
Its obvious kelele haziwezi kukukera wewe uliepo ndani maana ndicho ulichofuata, na ukimaliza unarudi kwako patulivu.Aisee nisehemu amazing sana nakumbuka December nilikua hapo, sijui nn shida ila niliona mambo yalienda vizuri tu.
Mbona baa nyingi ziko karibu na vituo vya mafuta! Nani alianza kuwepo, kituo au baa? Mbona vituo vya mafuta vimejengwa kwenye makazi ya watu? Aende mahakamani huko itajulikana kama chanzo ni nyamachoma au mdada.Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imempa mfanyabiashara anayemiliki klabu mashuhuri ya Meku’s Bistro Bar & Restaurant muda wa saa 24 kuifunga klabu hiyo kwa kukiuka sheria za nchi.
Klabu hiyo ambayo ni moja kati ya klabu mashuhuri mjini Moshi, inadaiwa kukiuka sheria ya mazingira ya mwaka 2004 kwa kupiga muziki kwa sauti kubwa na kuwa kero kwa majirani.
Barua ya halmashauri hiyo ya Machi 8, 2018 iliyotiwa saini na Danford Kamenya kwa niaba ya mkurugenzi wa manispaa, imesisitiza klabu hiyo kufungwa ndani ya saa 24 baada ya kupokea barua hiyo.
“Pamoja na ushauri wa mara kwa mara kuhusu kuzingatia masharti bado juhudi zetu zimekwama. Aidha imebainika biashara yako ya baa na mgahawa iko eneo hatarishi ambalo ni kituo cha mafuta.
“Kulingana na aina ya biashara unayoifanya kukusanya watu wengi na kuhitaji eneo kubwa zaidi unashauriwa kutafuta eneo linalofaa kwa shughuli hiyo.
“Unatahadharishwa kuwa kukaidi kutekeleza amri hii kunailazimisha ofisi kuchukua hatua kali za kisheria dhidi yako bila kukupa onyo lingine lolote pamoja na kukufikisha mahakamani,” imesema.
Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Michael Mwandezi alipoulizwa na MCL Digital leo, amekiri ofisi yake kutoa amri hiyo na kwamba hiyo ni baada ya njia zote za kidiplomasia kushindikana.
Mwandezi alisema halmashauri ilikuwa haina jinsi nyingine ya kufanya kwa kuwa mmiliki wake alishapewa onyo mara kadhaa na hata kutozwa faini, lakini hakutaka kujirekebisha.
kwa kweli Red stone na Hugo's watabambaHugos na red storm wataliendeleza hpo
Ova
Mrangi wewe Kabila gani mkuu.Nilipo enda hpo Dec vidole juu walikuwa kibao tena wametoka kila kona ya nchi naona walienda kumunga mkono jamaa
Ova
Anuani iko sahihi,, email na namba ya simu ni ya Oryx makao makuu...
Mwacha Alphonsi?Ina maana oryx ndio wamiliki wa lile eneo? Nakumbuka hicho kituo kabla ya kukodishiwa huyu jamaa wa mekuz kilikua ni mali ya familia ya Mzee Mwacha...
hahahah umeonaeUnavotaja huyo mzee mwacha kama vile jf wote tunamjua