MOSHI: Serikali yaifunga bar maarufu ya Meku's Bistro

Pale pazuri sana aisehhh labda apanue au apejengee kabisa na aweke sound proof
 
Bistro bar and restaurant ndio heading, lakini ndani inaelezewa bistro club......au ni kitu kimoja
 
Moshi mjini ni padogo sana, miaka ile nikiwa nasoma siku za mwisho wa mwezi tunaachiwa kwenda kutembea mjini. Yaani kuanzia asubuhi ikifika saa saba mchana tushamaliza maduka yote kwa maana moja baada ya jingine. Hapo ni mjini.

Hiyo ilikuwa miaka hiyooo siku hizi natumai patakuwa pametanuka vilivyo.

Mme taja habari ya club na panapigwa mziki na panabamba. ... mnenipa ashiki ya kwenda hapo nami nikakate kiu iliyonishika. Ila kama kweli pakifungwa kabla sijaenda ntasikitikaaa. Ntaishia kwenda Arusha.
 
Kakiuka sheria namba ngapi na ya mwaka gani? Mazingira siyanasimamiwa na nemc? Au?
 
Wameongeza kosa jingine kwamba iko karibu na kiyuo cha mafuta sasa atapanuaje?

Na kweli pako pua na mdomo

Ila pazuri pale bana ukinywa kahawa huku karibia na barabarani pako vizuri ila naomba wasiifunge bana ile sehemu ni nzuri ajabu
 
Labda ipo karbu na round about iliyoandikwa 'siasa ni kilimo' ndio maana

(Nawaza tu!)
 
Kati ya bar na kituo cha mafuta, nani aliyeanza biashara? Kwahiyo anatakiwa kufunga kwa sababu ya mazingira hatarishi si kwa sababu ya kelele.

Meku's imekikuta kituo cha mafuta, japo siyo sehemu ya stareh pekee moshi iliyo karbu na kituo cha mafuta.

Kuna Black Diamond/black D nayo ipo karbu na kutuo cha mafuta (labda ndio itakayofuata kupewa ban, who knowz!?)

Ila kiukweli pale ukipafikiria kama pakitokea moto ni hatari sana
 
Usimshangae...huyo ni mpinzani....kishajenga hoja hpo ndio anaipeleka ikajadiliwe na kikao cha juu cha chama chake ili kesho waite wanahabari kulaani....
Angekuwa na akili singekimbilia kusema figisu....kwenye jambo lenye athari kwa wengi

Figisu tu, sisi tuliopo moshi mukuz ni sehemu tulivu zaid, kuhusu petrol station mbona panone katika kila hotel yake kuna petrol station, supermarkets na huduma nyingine nyingi tu kwanini iwe kwake tu? Mziki unaopigwa pale c mkubwa ni kama burudani tu ya sehemu nyingine. Ila watajuana wenywe huko.
 
Usimshangae...huyo ni mpinzani....kishajenga hoja hpo ndio anaipeleka ikajadiliwe na kikao cha juu cha chama chake ili kesho waite wanahabari kulaani....
Angekuwa na akili singekimbilia kusema figisu....kwenye jambo lenye athari kwa wengi
Una uhakika? Una uhakika sio figisu au unaropoka tu
 
Mbona kuna sehemu nyingi mziki unapigwa kwa nguvu hadi kuchele hawawafungi

Ova
 
Moshi mjini ni padogo sana, miaka ile nikiwa nasoma siku za mwisho wa mwezi tunaachiwa kwenda kutembea mjini. Yaani kuanzia asubuhi ikifika saa saba mchana tushamaliza maduka yote kwa maana moja baada ya jingine. Hapo ni mjini.

Hiyo ilikuwa miaka hiyooo siku hizi natumai patakuwa pametanuka vilivyo.

Mme taja habari ya club na panapigwa mziki na panabamba. ... mnenipa ashiki ya kwenda hapo nami nikakate kiu iliyonishika. Ila kama kweli pakifungwa kabla sijaenda ntasikitikaaa. Ntaishia kwenda Arusha.
SIKU HIZI MOSHI PANA CLUB NYINGI SANA WALA USISIKITIKE KWA KUFUNGWA SEHEMU MOJA COZ BADO KUNA CLUB INATAMBA SANA MOSHI INAITWA RED STONE, BADO KUNA KILL HOME KUNA HUGGO'S KUNA BLACK DIAMOND KWA KWELI KWA SASA CLUB NI NYINGI SANA NA MJI UMEKUA TOFAUTI NA ENZI HIZO UNAZOSEMEA
 
Ooh ok safi sana.
 
Updates:
Ile taarifa ilikuwa ni fake , kuna watu walifoji hata hivyo kesi ipo polisi. Halmashauri walikana kuandika barua ile na mekuz inaendelea kama kawaida.
 
Back
Top Bottom