Moshi: Padri afumaniwa live na mke wa mtu akiwa uchi wa mnyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moshi: Padri afumaniwa live na mke wa mtu akiwa uchi wa mnyama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nivea, Apr 29, 2013.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2013
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,452
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  KANISA Katoliki Jimbo la Moshi limeingia katika kashfa nzito baada ya padri wake, Father Urbanus Ngowi wa moja ya parokia zake kudaiwa kufumaniwa na mwanamke anayesemekana ni mke wa mtu

  [​IMG]
  Father Ngowi akiwa ameduwaa baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.
  Sakata la fumanizi hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya wiki iliyopita chumbani kwa padri huyo, Marangu Wilaya ya Moshi Vijijini ambako Father Ngowi inasemekana alikutwa ‘laivu' akiwa na mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.

  Pamoja na kunaswa huko, vyanzo havijaeleza humo chumbani wawili hao walikuwa wakifanya nini!

  Habari zinadai siku ya tukio, mwanamke huyo aliingia nyumbani kwa padri huyo ambapo baadhi ya ndugu wa mumewe walikuwa wakimfuatilia baada ya madai yaliyokuwepo kwamba ana ukaribu wenye maswali mengi na mtumishi huyo wa Mungu.

  "Unajua siku nyingi ilivuma kwamba Mama P na Father Ngowi wana ukaribu wenye maswali mengi, mume wake alifuatilia na kubaini ni kweli lakini akashindwa kuutenganisha ukaribu wao," kilidai chanzo.

  [​IMG]
  Father Ngowi akijaribu kuomba samahani baada ya kufumaniwa.
  Chanzo kikaendelea kudai kwamba baada ya kuona mkewe amejikita kwa mtumishi wa Mungu, mumewe alinyoosha mikono juu na kumwachia Mungu.

  Chanzo: Sasa siku hiyo baada ya ndugu wa mume kumfuatilia mpaka anaingia kwa Father Ngowi, wakaona ni bora watafute mpigapicha ili kupata picha za tukio ambazo zitakuwa ushahidi siku za mbele.

  "Walipompata wakazama ndani, sekeseke likaanzia hapo. Walimkuta mwanamke huyo na mtumishi wa Mungu wapo kitandani."

  [​IMG]
  Father Ngowi na Mama P wakivaa nguo zao kwa aibu baada ya kufumaniwa.

  Habari zinadai kwamba kufuatia tukio hilo, tayari Kanisa Katoliki limemweka kitimoto padri huyo ambaye alikuwa akihudumu katika Parokia ya Korongoni, Moshi Vijijini kabla ya kuhamishwa na kupelekwa Parokia ya Makomu, Marangu ambako inadaiwa ameshushwa cheo.

  Inadaiwa kuwa baada ya tukio hilo, Father Ngowi alikana kukutwa na mke wa mtu chumbani kwake lakini alipobanwa sana na mabosi wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Moshi, alikiri na kudai ibilisi alimpitia na kuomba kanisa limsamehe na kutompa adhabu kali ambayo itamuathiri kisaikolojia.

  Hili ni tukio kubwa na la aina yake kuwahi kulikumba Kanisa Katoliki nchini kwa padri wake kudaiwa kukutwa na mke wa mtu chumbani[​IMG]
  Father Ngowi na Mama P wakiwa na nyuso za aibu baada ya tukio hilo.
  Kuna madai kwamba mwaka jana (2012), Father Ngowi, mbele ya waumini wake alisoma barua yenye kukana shutuma zote zilizoelekezwa kwake kwamba amekuwa na ukaribu wenye maswali mengi na wake za watu.

  Taarifa zilidai kuwa padri huyo aliweka wazi akisema si kweli kwamba amekuwa na ukaribu unaotajwa, akawataka waumini wake wapuuze tuhuma hizo alizosema zina mwelekeo wa kuchafua sifa yake na taswira ya Kanisa Katoliki kwa jumla.

  Hayo ni madai ya vyanzo vyetu ambavyo viliambatanisha na picha mbalimbali za tukio hilo lenye kushtua waumini sambamba na namba za simu za padri huyo kwa ajili ya mawasiliano ili kujiridhisha.
  [​IMG]

  Father Ngowi akipatiwa suruali yake.

  poleni sana mtakao ghafilika ni taarifa tu wandugu.myie wanaume mnamuona mwenzenu? itikadi za kidini weka pembeni tuzungumze fumanizzzzzzzz
  sourse :mnaiona hapo
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2013
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  mkuu mbona hapa sio mahala pake..
   
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2013
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,452
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hahahaahahahahahahahah hiyo picha ya kwanza nimecheka sana lol
   
 4. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2013
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kile kipengele cha ukiwa padri hutakiwi kuoa inabidi kirekebishwe... Bora huyu anagonga wanawake, lakini ma padri wengi wanawalawiti vijana wa kiume....
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2013
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Daahhhhhhhhh!!!!!!!!!!!! MODs tafadhali.!
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2013
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,274
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Mpuuzi kweli uyu jamaa hafai chunga kondoo maana badala ya kuwachunga yeye anawala!
  Hopeless
   
 7. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2013
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Haya mambo dr slaa alishituka mapema,maana wananchi wa Basotu walishamzungumzia kipindi cha mapenz yake na Rose,mapadri waoe,hii hali inawaharibu hata mbeleni maishan,wanakuwa wanafiki sana,mfano dr slaa.
   
 8. NAPITA

  NAPITA JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5,072
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  sasa umefika wakati hawa watu waruhusiwe kuwa na wenza.
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2013
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,737
  Likes Received: 2,277
  Trophy Points: 280
  Duu mapadri wanafaidi sana wake zetu!si waoe tuu.wamechoka mboga ya masista,sasa wanataka mboga za mtaani!
   
 10. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2013
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,452
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  haahahahahahahaahahah aisee
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2013
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,062
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  cha kushangaza ana kipaji cha kuponya watu pia
  akiwa anaadhimisha misa watu wanaaguka sana wenye mapepo.
  nadhani shetani kaamua kumtumia mwanamke aili ammalize kwani amekuwa akiwasumbua mapepo
   
 12. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2013
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,154
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
 13. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2013
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,452
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  soma maelezo mimi sijui mkuu ila mumewa atakuwa hana hamu tena aisee lol aibu sana naona bora angefumwa yuko na mtoto mzuri ajabu potelea mbali lol hilo jimama minyama na amejitwika aibu sana.
   
 14. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mchunga anachunga mpaka wake za watu
  Jamani huu ndio mda wa kuamka kuh dini na viongozi wake
   
 15. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2013
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,432
  Likes Received: 2,558
  Trophy Points: 280
  Lakini huyo mwanamke tayari ana mwenza!
   
 16. M

  Malila JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2013
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,337
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Ni aibu kwa jamii nzima.
   
 17. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2013
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,589
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  .....mh heri ya dr. Slaa anaetembea na watu wa rika lake, kuliko yule jamaa alie na mademu tena watoto wadogo toka kila chuo kikuu hapa tz, radio na tv station zote...
   
 18. S

  SAMSON RICHARD Member

  #18
  Apr 29, 2013
  Joined: Jan 11, 2013
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pumbavu wewe
   
 19. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2013
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,053
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba kujua ni adhabu gani mtu ukapewa halafu isikuadhiri Kisaikolojia?
   
 20. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2013
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Huzuni kubwa kwa kanisa.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...