Moshi: Padri afumaniwa live na mke wa mtu akiwa uchi wa mnyama

Status
Not open for further replies.
soma maelezo mimi sijui mkuu ila mumewa atakuwa hana hamu tena aisee lol aibu sana naona bora angefumwa yuko na mtoto mzuri ajabu potelea mbali lol hilo jimama minyama na amejitwika aibu sana.
binti mdogo si watasema anabaka.?
Huyo ndio saizi yake kabisa haibani.!
 
shem, nakubaliana nawe kabisa, na wala simtetei Fr. Ngowi hapa.
Amekosea na amekosea sana. Amemkosea Mungu na amejikosea mwenyewe. wakati anaenda kwenye huu utumishi alijua kabisa anatoa sadaka hali yake ya uanaume, alikubali hilo kwa hiari yake.
Ninachopinga hapa ni kusema hawa jamaa sasa waruhusiwe tu kuoa. mtu unakuwa na choice, kuamua kuoa au kwenda upadre. tena unachagua mwenyewe, ukiwa mtu mzima kabisaaaaaa. kama unaona huwezi ni bora kufanya kitu ambacho unaona utakiweza.
Lakini mara ngapi tumeshuhudia mafumanizi au mining'ono kuhusu watu walio kwenye ndo kutoka nje? tena wengine wana wake wengi tu na bado siyo waaminifu, na wengine ni wachungaji wa makanisa ambayo wanaruhusiwa kuoa lakini bado wanatoka nje. na pia tuna waume zetu home ambao hawajafungamana na upande wowote lakini bado wanatafuta huko nje....... hili swala sasa limekuwa ni zaidi ya kuamua kuwa na mke au la

Umefafanua vyema sana shem..watu wengi wamepoteza uaminifu
 
Nivea nadhani inatosha maana unacheka mno!
Mie Nasikitika.....nakukaribisha tusikitike wote kwa maana kilichofanyika ni cha kusikitisha kwa pande zote mbili.
maji yeshamwagika ndugu hayazoleki inamaana ukifiwa utaendelea kulia mwaka mzima ????????hahahaahahahaha
 
Sasa padre amepanga?wakati wanakaaga parokian jaman ingekuwa hapa bongo ningesema stor ya kichina!!! Duh na vijijin pia?hyo kali
 
Padri: sister usifunge mlango bwana yesu atakuja kukutembelea leo usiku .
Sister: sawa padri
usiku: aaah! Aaah! Aaaah! .
Hahaha kazi ipo.
 
Kile kipengele cha ukiwa padri hutakiwi kuoa inabidi kirekebishwe... Bora huyu anagonga wanawake, lakini ma padri wengi wanawalawiti vijana wa kiume....
Mgogoro unaanzia pale Binaadamu anapojifanya ni mahiri kuliko aliyemuumba na kumpa uhai....Mungu hakuwa mjinga alipomuumba adam akiwa na cha 'kukojolea' ili akitumie, pamoja na mambo mengine, kuendeleza uzao!!
 
shem, nakubaliana nawe kabisa, na wala simtetei Fr. Ngowi hapa.
Amekosea na amekosea sana. Amemkosea Mungu na amejikosea mwenyewe. wakati anaenda kwenye huu utumishi alijua kabisa anatoa sadaka hali yake ya uanaume, alikubali hilo kwa hiari yake.
Ninachopinga hapa ni kusema hawa jamaa sasa waruhusiwe tu kuoa. mtu unakuwa na choice, kuamua kuoa au kwenda upadre. tena unachagua mwenyewe, ukiwa mtu mzima kabisaaaaaa. kama unaona huwezi ni bora kufanya kitu ambacho unaona utakiweza.
Lakini mara ngapi tumeshuhudia mafumanizi au mining'ono kuhusu watu walio kwenye ndo kutoka nje? tena wengine wana wake wengi tu na bado siyo waaminifu, na wengine ni wachungaji wa makanisa ambayo wanaruhusiwa kuoa lakini bado wanatoka nje. na pia tuna waume zetu home ambao hawajafungamana na upande wowote lakini bado wanatafuta huko nje....... hili swala sasa limekuwa ni zaidi ya kuamua kuwa na mke au la
You have got brains girl......Love that.
Watu wanayachukulia haya mambo rahisi rahisi tu.

Anyway, mimi simjui huyo padre, lakini picha hizi ni za ku-stage. GPL....Whaaaat!!
 
Nilishasema kuwa Kanisa Katoliki lisijidanganye kuwa eti mapadre wana uwezo wa kuishi kama towashi. Wewe padre anakula balanced diet tena maprotini kwa wingi na bia usiseme halafu eti uniambie kila siku atakuwa tayari kuchafua mashuka yake au kufanya punyeto. Ni bora waruhusiwe waoe na ijulikane moja. Ona aibu kwa kanisa, tena naomba hii picha tumeni Vatican kabisa ili Pope Francis ajiweke sawa katika kufanya mageuzi ya kanisa Katoliki. Wakatoliki Cardinals and your Pope you need to relax some of your traditional customs/culture/norms otherwise shame is eroding the Church.
 
Hahahaaa Baba anakula kuku wetu jamani....usiombe yakukute bhana ila in a serious NOTE, heading haikutakiwa isomeke kuwa ETI KANISA KATOLIKI LAINGIA KWENYE KASHFA NZITO, nadhani hii ni ishu ya mtu binafsi jamani, japo ni Padre sawa lakini Kanisa halikumtuma ale kuku wetu so i think sio sahihi kulitaja kanisa hapa tutazua mjadala usio wa lazima.....halafu huyo kama alikua mpenzi wangu wa zamani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom