kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,239
- 17,677
Kampeni zinazopigwa hapa spesheli na za aina yake.
Kwanza mabango ya Chadema (UKAWA) yakiwekwa yanaondolewa ndani ya dakika chache...
Sababu ni nzuri kabisa.
David Mosha anatumia nguvu na pesa ambazo kwa kweli zimepata watumiaji...
Hapa Moshi bwana Mosha kaurejesha wimbo wa Yahaya ulioimbwa na Lady Jaydee kwenye chat, ndiyo wimbo hapa...
Ni ngumu sana CCM kushinda ubunge Moshi mjini.
Hawa vijana wanaotoa bango ya Chadema ni wanazi wa chadema completely...wanafanya hivi kupiga hela zaidi za CCM!!
Mchana wako CCM kupiga hela ikifika jioni ni kampeni kali kwa upande wachadema, so ni kama deal flani hivi yakipekee...
Vijana wanaendesha kampeni za Ukawa kwa pesa ya CCM.
Wenyewe hawashtuki.