Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Hizi methali zikishajibu kwa watoto wako utatuletea majibu
*Mchelea mwana kulia .......
*Haba na haba.....
*Lakuvunda .....
*Mtoto umleavyo....
*Apandae haba ....
*Mkaidi afaidi.......
Majibu yake:-
*Mchelea mwana kulia na kucheka.
*Haba na haba ndio mwendo.
*Lakuvunda nyama ilooza.
*Mtoto umleavyo atakushukuru akikuwa.
*Apandae haba atashuka na haba.
*Mkaidi afaidi akikosa chumvi na sukari.
 
Watoto wenu wengi wataishia kujiuza au kuwa mashoga kwa kuwa mnawaona mayai sana, yaani mtoto asijifunze kazi za kawaida kabisa kama hizo? N'a bado unaona Sawa tu?
Hivi shule za bure ndio kwenye mambo ya kudeki zile za kulipia nako inakuwaje?.

Kwahio mtoto asipo deki akikuwa mkubwa anaishia kujiuza na kuwa shoga kwa uonavyo?.

Unajua akirudi shule kuna kazi ngapi zina msubiria afanye? Shule ni sehemu ya masomo au kazi?.
 
Back
Top Bottom