Moshi kukosa uwanja mkubwa(stadium) ni aibu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,875
Pamoja na ukweli kwamba wachaga siyo wanichezo lakini hili la kutumia uwanja wa shule kwa shughuli ya kitaifa limetia aibu.Kwa mara ya kwanza ktk historia ya sherehe za mei mosi, magari ya maonyesho yameshindwa kuingia uwanjani na hii ni aibu ya kihistoria.Wachaga jengeni uwanja bhana au tuwaazime ule wa majimaji Songea?!
 
Natamani kuchangia ila bora nijipitie tu maana kuna mtu humu aliniambia moshi ni sawa na new york kwa maendeleo
 
Pamoja na ukweli kwamba wachaga siyo wanichezo lakini hili la kutumia uwanja wa shule kwa shughuli ya kitaifa limetia aibu.Kwa mara ya kwanza ktk historia ya sherehe za mei mosi, magari ya maonyesho yameshindwa kuingia uwanjani na hii ni aibu ya kihistoria.Wachaga jengeni uwanja bhana au tuwaazime ule wa majimaji Songea?!
Hahaha...aiseee....wajichangechange hawa...wakejenge kauwanja kwao
 
Pamoja na ukweli kwamba wachaga siyo wanichezo lakini hili la kutumia uwanja wa shule kwa shughuli ya kitaifa limetia aibu.Kwa mara ya kwanza ktk historia ya sherehe za mei mosi, magari ya maonyesho yameshindwa kuingia uwanjani na hii ni aibu ya kihistoria.Wachaga jengeni uwanja bhana au tuwaazime ule wa majimaji Songea?!
Mawazo mfu haya
 
hovyoooo
 
Kwahyo ulitaka wachaga ndio wajenge uwanja na wakati wapo viongoz wa kusimamia?tuna muda mwingi wa kufanya biashara zaid kuliko kuangalia unayoyasema....tunafanya biashara na kodi tunalipa kwaajili ya maendeleo hvyo kuset priorities hatuhusiki ila viongoz ndio wanahusika...umeshaambiwa hashauriki
 
Uwanja utajengwa kukiwa na hitaji+++ kwa sasa tunapeleka watoto kuwekeza mikoa iliyonyuma kimaendeleo ili waje kuwa Watendaji wakuu wajao.
 
Usiwe wakuendeshwa na matukio ili uonekane great thinker! Ni aibu kwakuwa mikoa yote ina viwanja vikubwa kasoro Moshi?? Maana ni mikoa kama mikoa mingine. Ulikuwa wapi hadi leo.
 
Back
Top Bottom