Moshi kukosa uwanja mkubwa(stadium) ni aibu

Moshi kukosa uwanja mkubwa(stadium) ni aibu

Pamoja na ukweli kwamba wachaga siyo wanichezo lakini hili la kutumia uwanja wa shule kwa shughuli ya kitaifa limetia aibu.Kwa mara ya kwanza ktk historia ya sherehe za mei mosi, magari ya maonyesho yameshindwa kuingia uwanjani na hii ni aibu ya kihistoria.Wachaga jengeni uwanja bhana au tuwaazime ule wa majimaji Songea?!
kwahiyo mkuu unataka kuniambia ukiona Kitu hakuna sehemu moja basi ndo mkoa mzima hakuna? je, umeenda wilaya kama ya Rombo na wilaya nyingine?
Na nilijua tu wewe utakuwa wa huko Uwanja wa zimani moto....
Bwana we je?
Acha majigambo bhna
 
Uwanja upo CCP jirani tu Na chuo cha Ushirika. Nadhani Tucta walitaka kuenzi chuo alichosoma Bashite
 
Wamepeleka chuoni ili mkulu ajenge hostels ili idadi ya wanafunzi iongezeke. Wachaga wanaona mbali katika kutafuta elimu wanajua watakao pata nafasi wengi watatoka kili.
 
kwahiyo mkuu unataka kuniambia ukiona Kitu hakuna sehemu moja basi ndo mkoa mzima hakuna? je, umeenda wilaya kama ya Rombo na wilaya nyingine?
Na nilijua tu wewe utakuwa wa huko Uwanja wa zimani moto....
Bwana we je?
Acha majigambo bhna
Nyumbi hii bombi hii
 
Kiwanja cha mashujaa unachosemea ndio kule wanapopaita Memorial kwenye soko la Mitumba au?
Hapana mashujaa kipo karibu na kota za polis ffu,na memorial kipo kule soweto ambapo wamegeuza kukawa soko la mitumba baada ya kiborilon kuhamishwa,,ila memorial ni kubwa kama uwanja wa uhuru hapa dar sema tu hautuzwi,,moshi viwanja vipo sema tu matunzo,,
 
Kamuulizeni Silas Mayunga-"Mti Mkavu" alipokuwa mkuu wa mkoa alifanyia nini fungu la kujenga uwanja pale ilipo Chang bay?
Mkuu, yaweza kuwa stori tamu. Sijui alifanyia nini? Vema tukakumbushana stories za zamani.
Natanguliza shukrani.
 
Kiwanja cha mashujaa unachosemea ndio kule wanapopaita Memorial kwenye soko la Mitumba au?
Cha mashujaa kipo hapo round about ya Arusha karibu na nothern highlands au kama unafaham total ilipo kwa nyuma yake
 
CCM Kirumba na vingine, ni vya chama sio vya serikali.
Eleza kirumba ilijengwa mwaka gani na ikiwa utaniambia si serikali iliyojenga ni ccm uwe na vielelezo narudia tena ccm haina uwanja bali vyote ni vya serikali.
Kama huelewi kamuulize babu yako.
 
Mkuu, yaweza kuwa stori tamu. Sijui alifanyia nini? Vema tukakumbushana stories za zamani.
Natanguliza shukrani.
Fungu lote na mengine alikuwa akiyatumbua, akijaribu kuulizwa anajibu kirahisi tu: "Kaulize niliifanyia nini nchi hii."
Baadae alipelekwa ubalozi nadhani Nigeria.
 
Mkuu, Utajengaje Uwanja afu unakaa miaka 15+ hauna Matumizi kisa usubiri sherehe za Serilali...
Wachaga ni smart Investors hawawezi jenga Uwanja afu huwaletei Mapato
Hahahaaaa sio kwa kujikweza huko kweli aisee unafanya kitu ambacho hakina faida hapo wasahau
 
Natamani kuchangia ila bora nijipitie tu maana kuna mtu humu aliniambia moshi ni sawa na new york kwa maendeleo
Nikuambie kitu kihamba ama kiwanja kwa muchagga ni kama umemwekea rubi mbele yake halafu umwambie aigawe thubutuuu yaani kutoa eneo kubwa kama la uwanja wa Taifa kwa ajili ya kujenga kiwanja tu alafu ukute kinakaa tu hakiingizi heleri ni kama kumlazimisha mbuzi kunywa maji ardhi kwao ina thamani sana kuliko mnavyofikiri ukitaka kupima imani ya mchaga nenda kule kwao halafu usogeze lile isale la mpaka hatua moja hata kwa lisaa limoja tu halafu uje utupe mrejesho humu kitakacho kukuta.
 
Natamani kuchangia ila bora nijipitie tu maana kuna mtu humu aliniambia moshi ni sawa na new york kwa maendeleo
Hapafikii NY ila kwa maendeleo Moshi huwezi fananisha sehemu nyingine za nchi hii na pia naomba ujue unaposema maendeleo unaangalia kitu gani.
 
Naangalia uwanja wa mpira ndio maendeleo yenyewe. Mkuu moshi ina timu gani ligi kuu?
Hapafikii NY ila kwa maendeleo Moshi huwezi fananisha sehemu nyingine za nchi hii na pia naomba ujue unaposema maendeleo unaangalia kitu gani.
 
Back
Top Bottom