Dogo huu muda unaendesha mikwara ya kitoto hapa, ni bora ungeupoteza kwenye kujifunza kuandika kwa usahihi, huku ukizingatia matumizi ya koma na nukta. Mamraka ni kitu gani labda we dogo?
Sasa hapo anayesimamisha shughuli ni mimi au ugonjwa? Taarifa imesema watoto wamekutwa na Corona unaniuliza kuhusu jirani yangu ili iweje,ugonjwa ukikomaa wala hutafungiwa ila utajifungia tu mwenyewe.
Unajifariji kitoto sana,hakuna namna utamkwepa mzungu,hata hio simu unayotumia hapo hata kava la nje hatuwezi kutengeneza,ndui imesumbua dunia,polio imesumbua dunia lakini ni hao unaowaita mabeberu wamekuletea chanjo na hata leo begani unaalama.
Lazima tukubali kwenda taratibu tutafika lakini kwasasa Africa bado sana,
Ni vituko sungura kumvimbia tembo.
Dawa za ukimwi tupeni lakini chanjo ya CORONA tutapiga nyungu!!!!!
Masomo yanaendelea....Mkuu wa shule yaMoshi International School of uwcea amekanusha Taarifa za kuwepo na maambukizi ya covid shuleni hapo!
Watoto wanasoma kama kawaida, hawajavaa barakoa....!
Chanzo: TBC 1
Mods Active pandisha hii coment juu kabisa (mwanzoni)