Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Sio kwamba Corona imetokomea kama JPM anavyosema?Kama wanaugua tu na awafi basi hakuna aja ya kufunga kwani tumeambiwa tutaishi na kama tunavyoishi na Mafua na ukimwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba Corona imetokomea kama JPM anavyosema?Kama wanaugua tu na awafi basi hakuna aja ya kufunga kwani tumeambiwa tutaishi na kama tunavyoishi na Mafua na ukimwi
KWA MFANO TUKIKUKAMATA TUKAKUBINYA NA TUKAKUHOJI UTUONYESHE USHAHIDI WA UWEPO WA UGONJWA UTAWEZA ?Huna unaloongea zaidi ya kupiga Siasa mfu hapa jukwaani. Kukaa lockdown ni maamuzi, na kutangaza kuwa ugonjwa upo ni jambo jingine. Hata sasa ugonjwa upo lakini tunaendelea na shughuli zetu huku kukiwa na tahadhari kidogo sana. Unamtishia nani kwamba tunachokitafuta tutakipata? Nahisi umeishiwa na hoja ndio maana unaokoteza vitisho vya kipuuzi.
KWA MFANO TUKIKUKAMATA TUKAKUBINYA NA TUKAKUHOJI UTUONYESHE USHAHIDI WA UWEPO WA UGONJWA UTAWEZA ?
Mkuu sihitaji kubishana, nenda uka google side effects za hiyo mRNA vaccine na pia vifo 23 vilivyotokea Norway ambavyo vilitokana na madhara ya hiyo chanjo. Wewe kama hujahisi madhara yoyote hakuondoi uwezekano wa side effects..
Kuhusu watu kujikinga zaidi hilo sidhani kwa sababu toka kipindi kile serikali inatangaza kuwepo corona na kuhimiza watu kuchukua tahadhari bado watu hawakuwa serious na kujikinga,na ndio maana hata walipokuja kuambiwa hakuna tena corona ilikuwa rahisi kwao kukubali. Maana kama watu walikuwa wanaweza kupanda daladala na kukaa chini ili wasionwe na traffic kipindi kile cha level seat bila kujali kuambukizana corona sasa unadhani watu hao walipokuja kutangaziwa hakuna corona si waliona ni bora ili mambo yarudi kama kawaida.Nataka kuwepo na taarifa ya ugonjwa huo ili watu wajikinge zaidi. Kunawa na kuvaa barakoa ni hatua t dhidi ya huo ugonjwa.
Huna unaloongea zaidi ya kupiga Siasa mfu hapa jukwaani. Kukaa lockdown ni maamuzi, na kutangaza kuwa ugonjwa upo ni jambo jingine. Hata sasa ugonjwa upo lakini tunaendelea na shughuli zetu huku kukiwa na tahadhari kidogo sana. Unamtishia nani kwamba tunachokitafuta tutakipata? Nahisi umeishiwa na hoja ndio maana unaokoteza vitisho vya kipuuzi.
UWE NA HESHIMA KIBARAKA WEWE ENDELEA KUPIGA KELELE TU ILA DAWA YENU VIBARAKA WOTE IPO JIKONI NA IMESHAKWIVA TUTAWAKAMATA NA TUKIANZA KUWASHUGHULIKIA MSIANZE KULIALIA KAMA HATUJAWAONYA. MBINYO UKIANZA UTAWATAFUTA HAO VIRUSI KWA TOCHI NA OLE WAKO WASIONEKANE. UNAFIKIRI HAOO NYUMA YA HIYO INTANETI NDIO UMEJIFICHA NA UNAWEZA KUSAMBAZA UONGO ?TANZANIA NI NCHI SALAMA NA HAKUNA CORONA WALA HAKUNA MTU ANAYEVAA BARAKOA NA HATA WATALII WANALIJUA HILO NYIE WACHACHE MMEISHIWA HOJA MNAANZA KULETA HABARI ZA UONGO TU ILI MLETE TAHALUKI.Ww dogo utakuwa ni bonge la dunya, unadhani ukinitishia kunibinya ndio kunaondoa ukweli wa hali halisi?
Sasa hapa kuna hoja gani uliyotoa zaidi ya kuhara..Umewaona waliokufa au na wewe unamaabara yako,, chanjo zingine mnazikubali ila zingine mnakataa,,, hamna chochote mnachoweza nyinyi zaidi ya kumwomba Mungu tu,, geographical yetu ya mazingira machafu inatubeba, manakula chakula kinyesi kipo karibu,, mimoshi tunayovuta tutafikiri wote tunavuta sigara,,
Hakuondoi ukweli kwamba hiyo ni experimental vaccine na imetolewa kutumika katika mazingira ya dharura. Ni teknolojia mpya ambayo bado ipo kwenye utafiti na side effects ambazo ziko wazi kabisa ni hypersensitivity, autoimmunity, genetic modification ya binadamu na sasa vifo vimeshaanza kuwa dhahiri, haya endelea kukaa huko field..Sihitaji kutumia google kwa vitu ambavyo navifahamu kwa nadharia na kwa vitendo pia na nipo field kwa zaidi ya muongo mmoja sasa..wewe baki huko usikilize hekaya za watawala wanaosema wanahujumiwa kwa chanjo wakati walipokea misururu ya chanjo za mzungu angali wadogo na ufuatliwe ilihali huna tishio lolote kwa mzungu ! hebu pambaneni kwanza kujenga madarasa watoto wasikae chini then ndio mje huku tujadili hizi complex issues
Yeah kama jinsi ambavyo tunahofu kubwa na corona kuliko hata hiyo corona yenyewe ilivyo,laiti corona ingekuwa ni hatari sawa na jinsi tunavyoichukulia basi hata tusingekuwa tunabisha sasa hivi kuwa ipo au haipo.Nifafanulie hapo unaposema tatizo ni uhalisia wa huu ugonjwa!
Ee Mungu tuepushe na aina hii ya uchizi na machizi kama haya kuja kuwa part ya co workers,mashemeji,au wakwe🙏Hiki ndio kinachowapa tabu mabeberu kuona kwamba wanakosa wateja wa chanjo, watulie tuu kila mtu ashinde mechi zake.
To whom should I reply in English and for what purpose. Do you want us to inform the public for morbidity information that does not existPlease reply in English..
........ ngoja tuone.
Kamtishe mamaako huko kijijini ngiri mkubwa ww.UWE NA HESHIMA KIBARAKA WEWE ENDELEA KUPIGA KELELE TU ILA DAWA YENU VIBARAKA WOTE IPO JIKONI NA IMESHAKWIVA TUTAWAKAMATA NA TUKIANZA KUWASHUGHULIKIA MSIANZE KULIALIA KAMA HATUJAWAONYA. MBINYO UKIANZA UTAWATAFUTA HAO VIRUSI KWA TOCHI NA OLE WAKO WASIONEKANE. UNAFIKIRI HAOO NYUMA YA HIYO INTANETI NDIO UMEJIFICHA NA UNAWEZA KUSAMBAZA UONGO ?TANZANIA NI NCHI SALAMA NA HAKUNA CORONA WALA HAKUNA MTU ANAYEVAA BARAKOA NA HATA WATALII WANALIJUA HILO NYIE WACHACHE MMEISHIWA HOJA MNAANZA KULETA HABARI ZA UONGO TU ILI MLETE TAHALUKI.