:A S-fire1:Few weeks ago I saw him at EAGT Mito ya baraka he was so tired but he was able to talk and walk although he was seems so week for case of physical strength but we have been told to give thanks for everything R.I.P Moses Kulola
Bwana yesu asifiwe mtumishi?Ndugu acha uongo wa mchana kweupe, Mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe mara nyingi amesema sana kuwa yeye ni mtoto wa kiroho wa Mtumishi wa Mungu Askofu Kulola. Mara kadhaa Askofu Kulola ameshaenda katika kanisa analolichunga Askofu Kakobe MWenge, moja kati ya hizo safari, Askofu Kakobe na washirika walimpa zawadi nyingi sana Askofu Kulola, ikiwa ni kuheshimu kazi kubwa ya Injili aliyoitenda Askofu Kulola. na hata katika ushuhuda wake Askofu Kakobe katika website yake hapa , http://bishopzacharykakobe.org/en/about-us/about-bishop-zachary-kakobe . utaona wazi wazi ameeleza kuhusu kuokoka kwake kutokana na mahubiri ya mtumishi wa Mungu, Askofu Kulola.
90
Hakika Mtumishi wa Mungu Askofu Kulola,amemaliza kazi na taji ya haki amevikwa. Jina la Bwana lihimidiwe
Nimepokea taarifa kutoka kwa Rev. Daniel Kulola ambaye ni mtoto wa Bishop Moses Kulola kwamba, Askofu Kulola amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Nitaendelea kuwapa updates.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.
:A S-fire1:Few weeks ago I saw him at EAGT Mito ya baraka he was so tired but he was able to talk and walk although he was seems so week for case of physical strength but we have been told to give thanks for everything R.I.P Moses Kulola
Forever, Ameen.His legacy for Pentecostal churches in Tanzania shall stand.