Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,566
RIP moses...we will miss you
Mzee Askofu Dk Moses kulola amefariki dunialeo asubuhi kwa maradhi ya mapavu
Mzee kulola atakumbukwa kwa mengi mema aliyo fanya katika taifa letu kuhamasisha umoja na mshikamano
Oooohhhhh! Kuishi ni Kristo kufa ni FAIDA.Mzee Askofu Dk Moses kulola amefariki dunialeo asubuhi kwa maradhi ya mapavu
Mzee kulola atakumbukwa kwa mengi mema aliyo fanya katika taifa letu kuhamasisha umoja na mshikamano
aha! apumzike kwa amani, huyu ndie alimfundisha ZACHARIA KAKOBE kuhubiri, ingawa kakobe mpaka leo akubari swala hili...... poleni sana wafiwa na mjukuu wako flora mbasha pole pia
WEE MSIBA haukuhusu kabisa au.? ulichoona ni hicho tu mkuu akuna kingine???Mchujuku ndo nin mkuu??
Ndugu acha uongo wa mchana kweupe, Mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe mara nyingi amesema sana kuwa yeye ni mtoto wa kiroho wa Mtumishi wa Mungu Askofu Kulola. Mara kadhaa Askofu Kulola ameshaenda katika kanisa analolichunga Askofu Kakobe MWenge, moja kati ya hizo safari, Askofu Kakobe na washirika walimpa zawadi nyingi sana Askofu Kulola, ikiwa ni kuheshimu kazi kubwa ya Injili aliyoitenda Askofu Kulola. na hata katika ushuhuda wake Askofu Kakobe katika website yake hapa , http://bishopzacharykakobe.org/en/about-us/about-bishop-zachary-kakobe . utaona wazi wazi ameeleza kuhusu kuokoka kwake kutokana na mahubiri ya mtumishi wa Mungu, Askofu Kulola.aha! apumzike kwa amani, huyu ndie alimfundisha ZACHARIA KAKOBE kuhubiri, ingawa kakobe mpaka leo akubari swala hili...... poleni sana wafiwa na mchujuku wako flora mbasha pole pia
bwana alitoa bwana ametwaa, poleni familia na kanisa kwa ujumla.
Hapo ndio ulitaka kusema nini kaka?