Morsi killed by El-Sisi Regime

Kwenye barua za Paul alijaribu kuonesha kuenea kwa imani kwa watia wa mataifa mengine kwa sababu ya kuamini kwao, kama Abrahamu aliamini basi nao wakiamini basi neema itakuwa kwao pia. Lakini Yakobo aliambiwa na wazawa wake watqimiliki nchi ile, na hizi baraka zilienda kwa watoto waliochaguliwa na baba zao, na walioshika Mungu, Abrahamu aliahidiwa nchi ya Kanaani, lakini haki ile ilirithiwa na Isaka na sio ismail, ndio maana alizikwa makpelah, vile vile haki hiyo ya ardhi ya Kanaani akapewa Yakobo na sio Esau, na Yakobo alizikwa makpelah, Mungu alifanya agano na Yakobo mwana wa Isaka mwana wa Abrahamu, haikuwa Esau, wala ismail wala Midian na nduguze ndio maana Abrahamu aliwatenga na Isaka.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nataka statement moja tu je Mungu hakusema kuwa atakayemlaani Abraham atalaaniwa?? Na akasema atabriki uzao wake?? If so kwanini unataka kuwatenga hao wengine je ina maana Mungu anaahidi kitu alafu anasaliti baadae??
 
Naona unakaa fuvu
 
Naona unakaa fuvu
Jibu hoja acha kukimbilia matusi.... Hiyo statement hakupewa Abraham?? Je kwanini una fanya exceptions zako kuwa inamhusu Yakobo tu?? ni wapi waliposema hizo baraka za Abraham zinaenda kwa mtu mmoja tu na sio KIZAZI CHOTE cha Abraham??

Leta hiyo statement hapa otherwise acha jewish propaganda.....
 
Team American hata mkiletewa ukweli mwataka upinga kwa upofu wa ushabiki wenu tyuuu.
 
Team American hata mkiletewa ukweli mwataka upinga kwa upofu wa ushabiki wenu tyuuu.
Bora nimshabikie Marekani kuliko Mwarabu. Mwarabu akitawala dunia atachinja sana watu kwa Jihad na wote tutalazimishwa tuwe kwenye dini yake.
 
Hizo ni fikra zako potofu makundi ya brainwashed muslims usijumuishe waislam wote.
Kwanza Tz yako tu inasaidiwa na warabu kuliko hata wazungu ktk maswala ya kijamii pasi na kubagua ilhal taasis zenu za kikatoliki nothing they are doing.
Mmechimbiwa visima vingi.maeneo tofaut na ISLAMIC FOUNDATION NA ALHIKMA FOUNDATION YA SHEIKH KISHKI lini waliwafanyia uhuni.?!
Au ndio Marekani akitunga propaganda mnazimeza.
Mkapa aliikopa iran akashindwa kulipa akaambiwa ajenge chuo kikuu cha uislam tz ili asamehewe den kagoma.
Iran haikumlazmisha ikamsamehe piga picha ingekua WB au IMF uone cha moto.
Msiishi kwa kasumba tyu America akisema hivi mwameza.
Ingekuwa uislam dini ya ukorofi huko Western nations Ulaya uislam usingekuwa unakimbiliwa kwa kasi na kuongezeka wafuasi
Bora nimshabikie Marekani kuliko Mwarabu. Mwarabu akitawala dunia atachinja sana watu kwa Jihad na wote tutalazimishwa tuwe kwenye dini yake.
 
Maana makundi madogo mnayanasabisha na uislam generally.
Mbona hatukuona taifa km taifa la kiislam likivamia kushinikiza watu wasilimu?!
Maana km ktk swala la jihad Muslims tukiamua hatta sasa tuingie road hatukamatiki.
Ila sasa hv jihad ya upanga haipo.
Ila ww ukijazwa pumba na America unazikubali tyu
Bora nimshabikie Marekani kuliko Mwarabu. Mwarabu akitawala dunia atachinja sana watu kwa Jihad na wote tutalazimishwa tuwe kwenye dini yake.
 
Hiyo ISLAMIC FOUNDATION NA ALHIKMA FOUNDATION inaweza kunisaida hata mimi nisiye muislam?
 
Umeelewa nilichokiandika.?!
Hiyo ISLAMIC FOUNDATION NA ALHIKMA FOUNDATION inaweza kunisaida hata mimi nisiye muislam?
HIZO TAASISI MBILI ZIMECHIMBA VISIMA MIKOA MINGI NA. MASHULE MENGI TENA BILA UBAGUZI WA DINI.
NA MAAFA MENGI WAMETOA MISAADA MFANO MAAFA YA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA.
ISLAMIC FOUNDATION WALISAIDIA KILA RAIA ILHALI HAKUNA TAASIS YA KIKATOLIKI ILIWAHI FANYA HIVYO NA HATA TETEMEKO LA ARDHI HAKUNA TAASISI YA KIKATOLIKI ILITOA MSAADA.
ASA HAPO IMEBAGUA WAPI.!?!NIMEKUANDIKIA JAMII KIUJUMLA AMA HUJUI KUSOMA
 
Mbona unaandika kwa jazba sana. Punguza munkari mimi mwenyewe sina dini. Bado wapo bongo au wameshasepa?
 
Mbona unaandika kwa jazba sana. Punguza munkari mimi mwenyewe sina dini. Bado wapo bongo au wameshasepa?
Bado wapo Tanzania Islamic Foundation makao yao makuu yapo Morogoro km Ulishawahi kusikia Tv imaan ama redio imaan hawana UBAGUZI ndugu husaidia wengi tyu wenye shida tofauti tofauti.
ALHIKMA foundation ipo maeneo ya Temeke Mwembe Yanga inamilikiwa na Nurdin Ahmad kishki hana kabisa ubaguzi wanasaidia vema tu.
 
Mbona unaandika kwa jazba sana. Punguza munkari mimi mwenyewe sina dini. Bado wapo bongo au wameshasepa?
Unatakiwa ukutane na Kishki mwenyewe maana watendaji kazi wake muda mwingine huwa wanasumbua si unajua roho za waswahili?
Ni vema ukutane na Kishki mwenyewe
 
Hivi kwanini waarabu/waislam(wananchi wa Iraq,Libya,Syria,Somalia,etc) ikitokea machafuko huwa wanakimbilia kuomba hifadhi kwa makafiri(USA,UK,France,Canada) na hawakimbilii nchi za asali na maziwa za waislam wenzao kama huko Iran,Saudi Arabia,Qutar etc
 
Acha unafiki.
Kambi za wakimbizi zipo mataifa tofauti kama ulikua hujui wapo wanaokuja Tanzania wasomali tupo kibaaaao kama hujui.
Na kuhusu Libya ht Algeria hapo Taifa jirani wamekimbilia baadhi ya walibya wanaishi.
Kuna baadhi ya wakimbizi wa kiarabu au kisomali hta wa kiBantu wanaamin wakiingia mataifa ya ulaya wataweza kupata maisha ya utajiri kiharaka na kuishi vema.
Kwahiyo wanawaza utajiri wa haraka.
Sawa mkuu.?!
Ila kusema kambi za wakimbizi zipo maeneo tofaut tofauti
 
Umesema "Kuna baadhi ya wakimbizi wa kiarabu au kisomali hta wa kiBantu wanaamin wakiingia mataifa ya ulaya wataweza kupata maisha ya utajiri kiharaka na kuishi vema."

Kwanini wasikimbilie kwa waarabu wenzao wakapate hayo maisha mazuri huku wakiwa chini ya utawala wa Sharia mkuu?
 
Hizo ni fikra zao.
Huwez ibadilisha fikra ya mtu kamwe
Wao wanafanya wanachokiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…