Morrison aonesha utovu wa nidhamu

Headcorner

Senior Member
Nov 26, 2020
188
277
Mchezaji wa klabu ya Simba ameonyesha utovu wa nidhamu kwa kuonyesha kidole cha kati kwa wale wote wanaomchukia. Kitendo hicho kimeonekana kwenye kipande cha video inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii.
 
Mashabiki viazi wa Simba watakuja kukutukana sasa hivi hapa,yaani in short tu ni kwamba mashabiki wa Simba hawataki kabisa kusikia mtu anamzungumzia huyu mchezaj wao kwa kile kitendo alichokifanya,mashabiki wa Simba ukiwauliza kwamba kwa nn mnamtetea huyu jamaa wanakwambia eti hicho kitendo ni maisha binafsi ya mchezaji na wala si utovu wa nidham(Umbumbumbu ni kaz sana)
 
Wewe ni mshabiki wa timu gani?
 
Wanaovaa jezi cha wamatopeni huwa hawakosi vimbwanga.

Juzi hapa yule aliyehukumiwa kubaka Geita alikuwa ndani ya uzi wa wamatopeni.

Huyu nae anaonyesha dole la kati yupo ndani ya uzi wa wamatopeni.

Ngoja tusubiri kimbwanga kingine!
 
Kuna mchezaj alikuwa anakejeliwa na kuombea mabaya Kama Onyango?, vipi mbona saivi mashabiki wametulia na hawamkejeli tena?, sehemu sahihi ya kuwajibu mashabiki ni uwanjani...

Hata Messi & Ronaldo wanatukanwa na kuchukiwa, vipi washawah kuwaonyesha kidole mashabiki wanaowachukia

Morrison anataka kushndana na mashabiki na hicho ndo kinamponza
 
Back
Top Bottom