FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
rinini???
"diproma".
rinini???
tuwe fear" ili iweje sasa
ilijengwa mwaka 1953---habari wadau wa jf mimi ni mwanafunzi ngazi ya diproma ya uhandisi ujenzi sasa sa hivi tupo kwenye project final year sasa project yangu inahusu masuala ya barabara ya moro road ndo nikakutana na swali hilo hapo juu...?
ila watu wa humu amuko fear kabisa mm nauuliza tu kama unajua unanisaidia
Hiyo FEAR ulimaanisha hivyo kweli we mwenye DIPROMA ya uhandisi?
ndio ipo
ila watu wa humu amuko fear kabisa mm nauuliza tu kama unajua unanisaidia
itakua st joseph
hivi kuna chuo cha hovyo kama hiki kwenye fani za uhandisi duniani!? Najuta kuchaguliwa hapa hakyanani!
ila watu wa humu amuko fear kabisa mm nauuliza tu kama unajua unanisaidia
itakua st joseph
Hapana niko DIT! Jamani msije mkamwua bure enzi hizi za Mulugo kuna kitu kinaitwa DIPROMA, watu lazima muwe fear bwana!!
1985 waziri mkuu salim Ahmed salim aliizindua
Huwa nikiandika kiingereza changu cha kunywea ukuti watu mnasema hamuelewi. haya sasa leo kuna DIPROMA na FEAR