nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,733
- 14,157
nashukuru kwa mchango wako
sio kweli
nashukuru kwa mchango wako
Tofautisha ujenzi wa barabara ya lami na daraja la Kajima na ujenzi wa Morogoro Road.
Barabara ilikuwepo tangu Nyerere anakaa Magomeni, na tangu Mwembetogwa hapajajengwa kituo cha zimamoto.
Sasa kama mtoa mada anauliza lami iliwekwa lini na KAJIMA, jibu lako litafaa.
Ila kama anauliza barabara ilijengwa lini, itabidi kutafuta habari zaidi.
Hiyo FEAR ulimaanisha hivyo kweli we mwenye DIPROMA ya uhandisi?
Na wala si ujenzi wa daraja la kajima ni ujenzi wa daraja la mto msimbazi kajima ni kampuni iliyojenga daraja hilo
ilijengwa mwaka 1953---![]()