jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 863
- 850
hatare, who will be responsible on this? R.I.P
![]()
Nina wasiwasi ni hii habari.
Mbona huyu askari anaonekana kama kauwawa kwa kupigwa risasi na sio kwa kupigwa mawe kama mleta habari anavyotuaminisha.
Hebu iangalie hii picha vizuri, inaonekana hakuna masalia yoyote ya mawe au marungu pembeni ya mwili wa askari. Pia mwili wa askari hauna majeraha kichwani isipokuwa inaonekana kuna tundu fula ni kifuani kama la risasi hivi.
Tunakwenda siyo salama...inaonesha fika watu wanahasira za muda mrefu. Jiangalieni askari watanzania mnawafundisha roho ya unyama wenyewe sasa ona! Mamb mlizani yamekwisha kumbe yalikua bado moyoni mwa wa2. Tusishangae kusikia aliyemuua mwangosi naye anasubiriwa.pole zake ila kama ni kweli alimuua marehumu ali zana muuza magazeti wakati wa mukutano ya cahdema basi hapo polisi wajue hakuna atakayedumu na ukifanya ubaya na wewe utalipwa kwa ubaya
Habari hii sio ya kweli, askari husika hajapigwa mawe na wala hajauawa, ni mzima ila yupo hospital!
Mmmh mbona hapo hayaonekani mawe yalio mponda hadi kufa..! Taarifa inamashaka.
Kama kauawa kwa mawe nilitegemea kuona hayo mawe kwenye hizo picha.
Habari hii sio ya kweli, askari husika hajapigwa mawe na wala hajauawa, ni mzima ila yupo hospital!