phillzj
New Member
- Apr 15, 2015
- 3
- 0
KANUSHO:
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Amekanusha Taarifa hizi na amekutana na Vyombo vya Habari kuzungumzia kuhusu Taaarifa Hizo za Uzushi
=============================
Voda fasta wapigwa baada ya kumfukuza bodaboda na kumsababishia ajali na hatimaye kifo huko maeneo ya Kasanga Morogoro. Lakini Polisi, kwanini mnawakimbiza watu wa Pikipiki, ninyi wenyewe mnajifanya mnasimamia sheria na usalama wa raia lakini ninyi ni wa kwanza mnavunja!!!
Poleni kwa kupigwa lakini pia timizeni wajibu wenu. Sidhani kama kusudio la hizo Pikipiki mlipewa ili muwakimbize watu wenye Pikipiki au kuangalia na kuzuia vitendo vya kihalifu.
Inaonekana kutwa nzima mnadili sana na waendeshao Pikipiki maarufu kama Bodaboda.

Taarifa za hivi punde
Askari wa Pikipki wa jeshi la police morogoro waliokua wakitumia Pikipiki no pt 823 mali ya jeshi la Polsi wamewekwa chini ya ulinzi na raia eneo la Mindu na raia wamemuua mmoja wao aitwae Ramadhani.
Chanzo cha sakata hili ni ajali ya Pikipiki waliokua wakiifukuza ambapo ilimshinda dreva bodaboda na kuingia kwenye lori.
Ndipo raia walipoanza kuwatuhumu Polisi ni chanzo cha ajali na Polisi waliamua kufyatua risasi hewani.
Hali ikawa tofauti, baadala ya raia kutawanyika waliongezeka na kuwazidi nguvu askari.
Cha kushangaza raia wamemuuwa kwa mawe Askari mmoja na mwingine walimwambia yeye hana makosa. Aliyeuwawa ni yule anaedaiwa kumuua marehemu Ali Zona muuza Magazeti katika harakati za maandamano ya CHADEMA 2011.
![]()
![]()