Waliotupia mawe hao polisi wasakwe waminywe korodani zao hadi wakome.Hivi wanajua huyo mwenye boda boda pamoja na kujua polisi wana bunduki kwa nini aliamua kukimbia.Je kama ni gaidi au jambazi sugu lililokurupushwa kwenye tukio.Madereva wangapi wa boda boda ni majambazi hilo wananchi hawajui?
Kitendo walichofanya wananchi si sawa sababu hawajui kulitokea nini kati ya huyo bodaboda na hao askari.Halafu ni kitendo cha hatari hivi askari hao waliorushiwa mawe wangewasha bunduki zao na kuanza kuwapiga risasi hovyo wananchi ingekuweje.Kweli mtu unarusha jiwe kwa mtu mwenye bunduki.Wananchi hao akili hawana.