Morogoro ni kama imerogwa

Moshi ipi unaizungumzia, moshi inabadilika but at slow speed ila sio stagnant kama morogoro

Tatizo la moshi ni uuzaji wa ardhi, people there si warahisi kuachia ardhi, but business wise sio mbaya compare to moro
 
Moshi mjini na viunga vyake.

Mfano hapa pembezoni mwa mji wakat unaingia Moshi mjini.
Tuanzie Kiborlon mpaka Round about ya YMCA.

Ni maeneo hot sana.
Ila angalia kama kuna ghorofa mpya. Au sheli au kitega uchumi au uwekezaji wa Jengo la biashara.
Utagundua hamna.
Business ni Majengo. Iwe biashara au viwanda.

Zaid zaid ni Bar tu utakuta. Na sio business complex au viwanda.

Ni kweli Ardhi wanaikumbatia sana. Tatizo linaanzia hapa. Wazew wa kule wako radh ardhi yao waione tu ila sio kuuza ili vijana wawekeze.
 
Wenyeji wakishafika Dsm wanaona tayari wameyapatia maisha pia ni wavivu sana na wapenda ngono
 
Anzi Himo, hapabadiliki kama ulivyofafanua.
 
Kwahiyo mtoa mada apuuzwe au azingatiwe?

Asipuuzwe.
Nafikiri anazungumzia ukuaji wa mji na miundombinu.
Ukuaji wa mji wa Morogoro upo katika kiwango cha kati.
Nafikiri anazungumzia magorofa
Lakini kama ni makazi, mji unakua kwa kasi hasa njia ya Dodoma kuanzia Kihonda mkundi, Kiegea n.k. watu wanajenga sana
 
Okay nadhani mtoa mada maendeleo kwake ni majumba Makubwa na Barabara za njia nne.

Ila kuhusu watu wa huko kufubaa hiyo ni kweli kabisa nimeona hiyo hata kipindi nipo chuo ,hawajipendi
 
Okay nadhani mtoa mada maendeleo kwake ni majumba Makubwa na Barabara za njia nne.

Ila kuhusu watu wa huko kufubaa hiyo ni kweli kabisa nimeona hiyo hata kipindi nipo chuo ,hawajipendi

🤓🤓
Maeneo mengi ya Morogoro hayana Maji hasa ukanda wa Kihonda na Nanenane
Alafu vumbi la Morogoro usipime.
Kama Kahama vile, sema Kahama kuna Maji

Morogoro ndio Mkoa wenye mito mingi na mikubwa kuliko yote lakini hakuna Maji.
Abood yupo mwaka wa 20 sasa kama sio 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…