Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,374
- 37,196
Hapo MWANZA URBAN sijaona jipya kwanza kunavi daladalab(vipanya) sisi warefu na tulio zoea dar tunapata tabu sana na usafiri huo.Ukiacha Dsm.
Kuna miji pia TZ maendeleo yana kasi.
Mfano Dodoma , Mwanza, Arusha na miji kama Kahama.
Hii nimeshuhudia binafsi.
As years goes by. Maana nimepita miji hiyo 2010 na nikarud kwa wakat tofaut miaka ya 2020's.
Tulia wewe hivi Mtwara bado wanaadhimisha siku ya waliouwa kwenye gesi?Picha iko wapi?
Huyu haijui Moro ileMorogoro sehemu gani unakopitia wewe?
Tuseme hata lami ya Kihonda-veta inayoelekea SGR hujaiona?
Vipi ile inayopita Tubuyu_Tungi? Na ile ya mafiga, Tumbaku_Kichangani hadi area 5?
Mkuu nataka nipate muda nije nitembee kidogo huko ili kutuliza akili kwa siku mbili au tatu. Je, wewe ni mwenyeji huko? Sehemu gani nzuri ya kupumzikia? Iwe lodge au hotel isiyozidi 40 per day.Huyu haijui Moro ile
Watu hujenga na kupanua miji kutokana na incentives za aina mbalimbali na huwa hawajengi tu kwa sababu wana fedha. Jiji kama Dar pamoja na kuwa na joto na mbu linapanuka kwa sababu watu wanavutiwa na ''faida'' ya kuishi hapo.Ni kama Moshi mjini.
Wageni mara nying ndio hufanya mji kuchangamka na kuwa na maendeleo.
Moshi wana thamini sana Ardhi.
Sio rahisi kuuza ardhi na kama wakiuza basi ni bei juu tofauti n bei elekezi.
Hivyo unakuta Hakuna kitu kipya . Ni Moshi ile ile ya miaka 20 nyuma . Pia wanajenga vijijini kwao ambako vijana hakuna maana hakuna fursa ya uchumi.
kushuka garaging kwake poa TUAna garage pale ukitoka dar lazima upite, Mbeya mtashuka pale, mwanza pale mtapita tu
Ndio aboood hiyo
Unakuja kwa ajili ya kupumzika tuuu, au semina.Mkuu nataka nipate muda nije nitembee kidogo huko ili kutuliza akili kwa siku mbili au tatu. Je, wewe ni mwenyeji huko? Sehemu gani nzuri ya kupumzikia? Iwe lodge au hotel isiyozidi 40 per day.
moshi imeendelea hauko serious mkuu…kwanza mara ya mwisho kwenda ilikuwa lini na ulikuwa wapi??maana mi mwenyejiNi kama Moshi mjini.
Wageni mara nying ndio hufanya mji kuchangamka na kuwa na maendeleo.
Moshi wana thamini sana Ardhi.
Sio rahisi kuuza ardhi na kama wakiuza basi ni bei juu tofauti n bei elekezi.
Hivyo unakuta Hakuna kitu kipya . Ni Moshi ile ile ya miaka 20 nyuma . Pia wanajenga vijijini kwao ambako vijana hakuna maana hakuna fursa ya uchumi.
moshi imeendelea hauko serious mkuu…kwanza mara ya mwisho kwenda ilikuwa lini na ulikuwa wapi??maana mi mwenyeji
Utapeli huu wapi ambako hamiachakaa?Kwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , nina uhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa
Adios!!
Ma CCM yanalihujumu pamoja na kuwa miongoni mwa yenye pato kubwa.Mwingine alikuja akasema JIJI LA MBEYA NI LIKIJIJI LIKUUBWAAA LILILO CHANGAMKAAA
Ohoo Mbeya vipanya vya kuvitafuta tatizo bajaj nyingi hadi kero,Tulia naona ni mojawapo ya Kiki ya kisiasa suala la mandhari halimhusu.Hapo MWANZA URBAN sijaona jipya kwanza kunavi daladalab(vipanya) sisi warefu na tulio zoea dar tunapata tabu sana na usafiri huo.
Pia majengo mengii ni makuu kuu mjini kumepaukaa..pesa ngumuu ...matumizii juuu all in all mwanza niliona ni pagumuuu sanaa
Ni mtazamo wangu.
Yaan , ni masikitiko kweli kweliOhoo Mbeya vipanya vya kuvitafuta tatizo bajaj nyingi hadi kero,Tulia naona ni mojawapo ya Kiki ya kisiasa suala la mandhari halimhusu.
Uko sahihi kabisaaHapo MWANZA URBAN sijaona jipya kwanza kunavi daladalab(vipanya) sisi warefu na tulio zoea dar tunapata tabu sana na usafiri huo.
Pia majengo mengii ni makuu kuu mjini kumepaukaa..pesa ngumuu ...matumizii juuu all in all mwanza niliona ni pagumuuu sanaa
Ni mtazamo wangu.
mji umebuma, mpaka madada poa niwalewale wa tangia miaka ya 2009, mji umetapakaa azumaMorogoro wenyeji wanajua singeli na vigoma wagen wengi wanajitahid kuboresha mji