Watanzania mshakariri maendeleo ni barabara za lamiAcha uongo bwana miaka 15 maana 2010, Mlapakolo Street, karume, Sultani area, Kilakala road, Bogwa road, kichangani road, mafisa road, Kola makaburini, sabasaba street, Misufini road. Hizo barabara zoote hazikuwa na lami sasa hivi kuna lami. Na hiyo ndiyo nchi yetu ilivyo ulishacheki na miji mingine inakuwa km mchixha
Zile hoteli (sio hoteli hata ila sehemu ya kuchimba dawa na kula chochote)ambapo mabasi yote yanayopita hiyo barabara yanapenda kusimama pale njiani bado zipo vilevile au walishaboresha? Maana hata jina sikumbuki panaitwaje..Kwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , nina uhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa
Adios!!
Acha wivu wa kike nawewe kajenge kijijini kwenu.Ni kama Moshi mjini.
Wageni mara nying ndio hufanya mji kuchangamka na kuwa na maendeleo.
Moshi wana thamini sana Ardhi.
Sio rahisi kuuza ardhi na kama wakiuza basi ni bei juu tofauti n bei elekezi.
Hivyo unakuta Hakuna kitu kipya . Ni Moshi ile ile ya miaka 20 nyuma . Pia wanajenga vijijini kwao ambako vijana hakuna maana hakuna fursa ya uchumi.
Acha wivu wa kike nawewe kajenge kijijini kwenu.
miundombinu ikiwemo barabara ndio maendeleo yenyewew, au wew ni memkwa?Watanzania mshakariri maendeleo ni barabara za lami
Hapo juu imetajwa Morogoro, Moshi gafla Tanga!
Kiujumla semeni tz yote, acheni rejareja π
Morogoro sehemu gani unakopitia wewe?Kwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , nina uhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa
Adios!!
Mwingine alikuja akasema JIJI LA MBEYA NI LIKIJIJI LIKUUBWAAA LILILO CHANGAMKAAAKwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , nina uhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa
Adios!!
Weee umekalili nini guest house etiWatanzania mshakariri maendeleo ni barabara za lami