mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,097
- 7,862
Prof palamagamba anasemajeKwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , nina uhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa
Adios!!
Kwani aboood anasemajeKwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , nina uhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa
Adios!!
Wakifiwa wana mabasi ya kuwasafirisha. WaacheKwa mtu ambae ana miaka zaidi ya 15 toka alipouona mji wa Morogoro kwa mara ya mwisho , nina uhakika akiuona hivi sasa hataiona tofauti yoyote Ile ya kimaendeleo hususani miundombinu na makazi binafsi ya watu.
mji umechakaa, watu wanatembea mitaani wamefubaa kama mazombie sababu ya vumbi , huo mji umerogwa
Adios!!
Yuko anakunywa dawa ya COVID-19 toka MadagascarProf palamagamba anasemaje
Ninyi muipende CCM hadi mfe mafukara.Na Sisi wa Lindi tusemeje
Kweli kabisa moshi ipo karibu sana kuzidiwa na kahama manispaa nipo hapa. Na nadhani tyr ishapitwa.Ni kama Moshi mjini.
Wageni mara nying ndio hufanya mji kuchangamka na kuwa na maendeleo.
Moshi wana thamini sana Ardhi.
Sio rahisi kuuza ardhi na kama wakiuza basi ni bei juu tofauti n bei elekezi.
Hivyo unakuta Hakuna kitu kipya . Ni Moshi ile ile ya miaka 20 nyuma . Pia wanajenga vijijini kwao ambako vijana hakuna maana hakuna fursa ya uchumi.
Ana garage pale ukitoka dar lazima upite, Mbeya mtashuka pale, mwanza pale mtapita tuKwani aboood anasemaje
Hatari sanaMorogoro njaa kali lakini huwaambii kitu kwa CCM. Wamevaa mashati ya kijani kazi kupiga virungu tu.