Inapokua kifo, wote bila kujali vyama tunakaa kimya. Hakuna profesor alietuambia kweli na tukahakikisha "life after death" . Bado ni giza nene! !. Hapa tuache siasa, R.I.P madam.
pressure za m4c pole dada ila umefia kwenye ufisadi haya bana kalazwe pema ufisadin amene!
Mungu amlaze mahali pema, poleni sana wafiwa
Chama
Gongo la mboto DSM
R.I.P Asha Kipangula
poleni sana wafiwa mungu awape nguvu.
Nawapa pole wafiwa kwa kupoteza mpendwa wao. Usijali t2015ccm CDM mara nyingi huwa wanamshirikisha mungu katika mambo yao, marehemu kama alishiriki kwa njia moja ama nyingine katika mauaji ya polisi kwa mpendwa wetu ALLY hapo Morogoro haya yatakuwa ni malipo kwake na kwa CCM kwa udhalimu waliohufanya siku hiyo na bado kwa upande wa polisi tutasikia kwani malipo ni duniani na sio mbinguni.Angekufa rejia mtema apo kila mtu angejifanya ana uchungu sana.chadema acheni ujinga kwenye mambo ya msingi yanayohitaji kuonyesha utaifa.kwa mtindio huu wa ubongo ndio mpewe nchi,mtasubiri sana.comment zenu hapa ni za kitoto mno.
Chezea Tanga wewe! Albadri imeanza kujibu na wengine kaeni chonjoCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kimepata pigo kutokana na kifo cha Katibu wa Mkoa huo, Asha Kipangula, aliyefariki leo asubuhi katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam.
Habari za kifo hicho zimethibitishwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Mhandisi Petro Kingu.
![]()
Hata hivyo, taarifa za awali zinasema mwili wa marehemu utasafirishwa kesho kwenda mkoani Iringa kwa maziko yatakayofanyika fanyika kesho kutwa.
Kipangula alihamia Morogoro mwaka 2009 akitokea Tabora, lakini wakati anahamia alikuwa na wadhifa wa Katibu Msaidizi wa CCM Mkoa.