Morogoro: Hatimaye Shaka Hamdu Shaka ala Kiapo cha Uaminifu

Hazina kwa kipi alichofanya nchi hii MKUU,?? hats kama mnavuta bangi iliyochanganywa na mavi muwe mnajarbu kuficha ujinga wenuu!!
Nadhani hamfahamu vizuri Bwana Shaka so huwezi kuelewa nachomaanisha,
 
Katibu mwenezi taifa mpaka ukuu wa wilaya,moyo wa mtu ni msitu akisemacho mtu uwenda sio aliyonayo moyoni.
Ukisoma post namb #4 utaelewa tu. Kuna jamaa hakufurahishwa na maamuzi ya boss wake, lkn kwa sababu ya njaa ilimlazimu kuwa mpole na kumeza matapishi yake mwenyewe kwa kukipamba kile alichokiponda.
 
yah mwanadamu maranyingi akishushwa toka juu kuja chini bila ridhaa au vinginevyo lazima kisununu kiwepo.
 
yah mwanadamu maranyingi akishushwa tuka juu kuja chini bila ridhaa au vinginevyo lazima kisununu kiwepo.
Hakika, lakini maamuzi mengine huja na neema mbele yake. Anaweza akawekwa hapo ili kupewa uzoefu wa kufanya kazi za serikali. Mwisho wa siku baada ya miezi au miaka kadhaa ya mbele unashangaa anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa fulani, baadae anapitishwa kwenye mchujo wa ubunge (mfano anashinda uchaguzi) mara anachaguliwa kuwa waziri wa wizara fulani nk.
 
Ika morogoro sio sehemu ya wanaojaribishwa ni sehemu ya kazi kazi.kuondoka kwa msando hatujui patakuwaje maana wafanyabiashara na wamachinga na wafugaji ni mwendo wa mchaka mchaka.
Sasa huyu kilosa napo ni mchaka mchaka wa wakulima na wafugaji kiangazi kikianza.
Akimaliza miaka 2 yaani hadi 2024 disemba niiteni mbwa.
 
Hakika, lakini maamuzi mengine huja na neema mbele yake. Anaweza akawekwa hapo ili kupewa uzoefu wa kufanya kazi za serikali. Mwisho wa siku baada ya miezi au miaka kadhaa ya mbele unashangaa anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa fulani, baadae anapitishwa kwenye mchujo wa ubunge (mfano anashinda uchaguzi) mara anachaguliwa kuwa waziri wa wizara fulani nk.
ndio na hilo nalo lipo,kina Msoga walianzia huko chini alipo Shaka sasa hivi inawezekana kabisa.
 
Sahihi kabisa, huenda ni mbinu pia ya kumpa Uzoefu serikalini
 
ndio na hilo nalo lipo,kina Msoga walianzia huko chini alipo Shaka sasa hivi inawezekana kabisa.
Kweli kabisa mkuu. Kitu kibaya zaidi katika siasa au uongozi wowote wa umma ni pale unapotumbuliwa kwa sababu fulan. Yani hata kama hizo sababu sio za kweli, ila kitendo cha kutumbuliwa tayari kinakuwa kishakuchafulia sifa (CV yako)

Ila kuhamishwa kwa namna hii hakuharibu sifa japo heshima na ulaji (nikimaanisha mshahara) vinakuwa vimepungua
 
ndio,wakati mwingine elimu ya uongozi ni muhimu,uongozi ni dhamana.
 
Back
Top Bottom