Kilosa: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka akutana na Makatibu Tarafa pamoja na Maafisa Watendaji

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,985
4,084
IMG-20230215-WA0155.jpg

Shaka na falsafa ya "Uongozi wa pamoja kwa maendeleo endelevu"

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka Jumatano Februari 15, 2023 amekutana na kujitambulisha ikiwa ni pamoja na kuzungumza na Makatibu Tarafa, watendaji wa kata katika Wilaya Kilosa.

IMG-20230215-WA0151.jpg

Shaka Hamdu Shaka akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama na viongozi wengine wa Halmashauri ya Wilaya hiyo waliokutana katika Ukumbi wa mikutano wa Madaraka ulipo Wilayani hapo.

IMG-20230215-WA0156.jpg

#KaziKazini#
#Kilosayetufursazetu#
#Uongoziwapamoja# #MaendeleoEndelevu#
 
#Kilosayetufursazetu#
"Tatizo kubwa la Kilosa ni Mwenyekiti wa Chama"
Alisikika akisema kiongozi Mkuu

Baadaye akasikika tena
"Hili handaki ni utalii tosha kwa wana Kilosa, unaweza kuja hapa na mpenzi wako mkapiga picha hakuna wa kuwazuia"

Majuzi nilikwenda na mpenzi wangu nikapige picha masai wakanitoa bagabaga🤣
 
😂😂😂
 
Back
Top Bottom