Morogoro: Hatimaye Shaka Hamdu Shaka ala Kiapo cha Uaminifu

Ni nafasi nzuri. Shaka alikuwa kiongozi katika siasa na sasa Ni kiongozi wa kiserikali. Hapa atapata uzoefu mwingine mkubwa hasa unaohusu kazi za kiserikali na utekelezaji wake,watendaji, changamoto n.k

Bila Shaka ni matayarisho ya nafasi kubwa zaidi. Kila la heri kwake komredi. Mwenye Mungu amfanyie wepesi kwenye kazi zake.
 
View attachment 2497668
View attachment 2497664
===
Tofauti kabisa na minongo'no na matarajio ya wengi kuwa huenda Mhe Shaka Hamdu Shaka hakufurahishwa kwa kuondolewa kwake kwenye Chama na kuteuliwa kuwa Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kilosa akiondolewa kwenye nafasi hiyo ndani ya Chama aliyeihudumu kwa karibu Miaka miwili,

Hatimaye Leo Mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bi Fatma Maswa Shaka Hamdu Shaka akiwa ni mwenye bashasha na furaha sana huku akishangiliwa wakati wote amekula kiapo cha Uaminifu na Utii kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa Viongozi Wengine,

Mtakumbuka Shaka Hamdu Shaka alikuwa ndie Katibu wa Itikadi & Uenezi wa CCM kabla ya aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Ndg Sophia Edward Mjema kuchukua mikoba yake,
View attachment 2497585
View attachment 2498007
Shaka ni Chuma kweli kweli
 
Tundu Lissu amekaa kimya Hadi sasa.

Kunani???
 
Ila huyu mwamba ni hazina sana kwa Taifa tukubali tukatae,

Kila lenye heri katika Utumishi wako Mpya Crde
kama ni hazina mbona alipigwa chini kwenye uenezi.hazina labda kwa zanzibar lkn bara si hazina kabisa ni ubakaji wa katiba tu.
 
Huyu ni Mzenji anapewaje u DC huku bara?
Ina maana hata Nepi alivyotoka uenezi miaka ile angeweza pia kupewa u DC Pemba?!.
 
Back
Top Bottom