Morogoro Enzi Hizo: Hii ndio Morogoro bwana!

Ila Moro mlitisha sana ...nikiwa Arusha enzi hizo late 80s kuna mjanja mmoja alikuwa anajiita Speed Mnyamwezi ( watu disko Arusha na mitaa ya Fire enzi hizo mtakuwa mnamjua)..alikuwa anasafiri kuja Moro kuruka majoka! Hatari sana ....cc John Dilinga Matlou ...
 
Daaaah!! Nimekumbuka mbali sana.
 
Kudadeki kuna kabar kanasumbua sana ck za wikiend kanaitwa KING TOM, wazee wa kichangani tupooo kwa wapenda vigodoro
 
Nilijua unakuja na updates mpya ya viwanja vyetu vile. Hako kamji nikiwaga nastress nakujaga kuziondolea huko hasa pale wanaita samakisamaki au nyumbani park..hatari sana unaweza piga 3some bila kupenda
Kule Mo Town zamani For Stars nako kupo poa tu,Pale Downtown Pako poa lkn kuna muda panapoza sana
 
Marahaba mwanangu, mama yake yule jamaa alikuwa anafundisha 7/7 au K'ndege ndiyo shule ulizosoma wewe.
Alikuwa anafundisha Sabasaba,binti yake Yule mama alizulumu hela yangu,bora ningepiga mzigo tu
 
Moro ni mji wenye Pori.Rejea mashamba ya mkonge na Mapori ya Sua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…