Morogoro: Auawa akidhaniwa kuwa popobawa

Morogoro: Auawa akidhaniwa kuwa popobawa

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
238
Reaction score
179
Mtu mmoja ameuawa na wananchi wenye hasira kali akidhaniwa kuwa ni popobawa.

Anadaiwa kuwa amekuwa akiwaingilia kimwili watu kimazingara.

Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro athibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Chanzo: Tbc Taifa
 
Hicho kichwa cha habari nimedhani popobawa kamuingilia mtu hadi akafariki kumbe ni yeye mwenyewe kafariki.
 
Wana ushahidi au walihisi?kidhibiti (waliofanyiwa upopobawa) ndio itakuwa salama yao vinginevyo watanyea debe.
 
Mtu mmoja ameuawa na wananchi wenye hasira kali akidhaniwa kuwa ni popobawa.

Anadaiwa kuwa amekuwa akiwaingilia kimwili watu kimazingara.

Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro athibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Chanzo: Tbc Taifa
Ifike atua hawa Watu wapewe elimu. Morogoro hao hao ndo walio ua Watu walo enda kufanya research
 
Watz bado tuko nyuma sana.... JPM kazi bado ipo kuwatoa hawa binadamu huku waliko mpaka kujitambua... suluhu ni elimi na ni elimu bora pekee inayo weza saidia....
 
hali ni hatari, inabidi kuishi kwa tahadhari.
 
Mtu mmoja ameuawa na wananchi wenye hasira kali akidhaniwa kuwa ni popobawa.

Anadaiwa kuwa amekuwa akiwaingilia kimwili watu kimazingara.

Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro athibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Chanzo: Tbc Taifa
WAKUU JINA LAKE NA LINI?
 
Mtu mmoja ameuawa na wananchi wenye hasira kali akidhaniwa kuwa ni popobawa.

Anadaiwa kuwa amekuwa akiwaingilia kimwili watu kimazingara.

Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro athibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Chanzo: Tbc Taifa
UPDATES: WATU 20 WAMEKAMATWA..
 
Huyo popobawa alikosea location, ujinga huo wenzake wanafanyia Dar kwenye wanaume mchelemchele, mikoani hatupendagi ujinga.
 
alikuwa anawaingilia jinsia gani?! maana popobawa wa zamani naskia akiingia usiku anashika kidevu akikuta hakina ndevu hujui umekula dushe!
 
Huyo popobawa alikosea location, ujinga huo wenzake wanafanyia Dar kwenye wanaume mchelemchele, mikoani hatupendagi ujinga.
Pamoja na kupata ako ka-elimu chako tudogo bado una amini kweli hilo tukio?
Tanzania tuna safari ndefu sana yakupambana na ujinga
 
1. Watafiti waliuawa kule Dodoma wakidhaniwa kuwa ni mumiani.
2. Huyu anauawa Morogoro akidhaniwa ni popobawa
3. Jamaa aliuawa kwa kupigwa pale Msimbazi akidhaniwa kuwa ni mwizi
4. Kuna yule mwanafunzi alipigwa na aliuawa posta akidhaniwa kuwa kibaka.

Unaweza kuona ni kama kitu rahisi na habari isiyo na uzito kwa kuwa wanaofikwa na "dhana" hizi za kijinga ni watu wa mbali......
 
Back
Top Bottom