Morogoro: Auawa akidhaniwa kuwa popobawa

Morogoro: Auawa akidhaniwa kuwa popobawa

1. Watafiti waliuawa kule Dodoma wakidhaniwa kuwa ni mumiani.
2. Huyu anauawa Morogoro akidhaniwa ni popobawa
3. Jamaa aliuawa kwa kupigwa pale Msimbazi akidhaniwa kuwa ni mwizi
4. Kuna yule mwanafunzi alipigwa na aliuawa posta akidhaniwa kuwa kibaka.

Unaweza kuona ni kama kitu rahisi na habari isiyo na uzito kwa kuwa wanaofikwa na "dhana" hizi za kijinga ni watu wa mbali......
Inaonyesha ni jinsi gani wa TZ tulivyokuwa na IQ ndogo watu wanaua tu bila hata kuhoji.
Inafikia hatua mpaka mtu unaenda kazini ukiomba mungu akutangulie
 
Huyo popobawa alikosea location, ujinga huo wenzake wanafanyia Dar kwenye wanaume mchelemchele, mikoani hatupendagi ujinga.
K mkuu umepanic sana hadi kwakwo alikosea location nin? dar tuko marijari ndio maana popobawa ameamua kuweka kambi huko mkoani
 
Inaitwa ajali kazini. ...kafa on duty
Kuna yule Mmarekani wezi wawili wanaume walivunja nyumba yake, akawakamata mule ndani akawafanye wake zake for 10 days..
 
Back
Top Bottom