Mji mdogo sana ukitoka mjini ,msavu Kihonda tayari mji ushaisha
Morogoro imepooza sana ukitoa samaki samaki, star park ,vybee Kihonda sijui mnabakiwa na nini
Vyuo vikifungwa mji una pooza mno pamoja na kuwa na vyanzo vya maji vingi bado mji una shida ya maji
Waluguru washamba sana kila siku mtadanganywa na mbunge wenu yule singa mkipewa gari la misiba basi mnaona mmesaidiwa kweli
Wazawa hawataki kazi sanasana udalali na day work ya bodaboda yani unaomba trip kazaa na wewe upate elfu mbili
Kule wezi wengi hasa mafiga ,Sua vibanda ni kipindi kile walikuwa wanatupiga kabali wanachuo ..plus wala unga wengi mitaa ya Manzese .. halafu Morogoro single mother wengi wanawake wa Morogoro ni kama kuku wa kienyeji ujanja wako tu hata kama ameolewa
Maduka yanawahi kufungwa na yanachelewa kufunguliwa tena hasa mjini hivi kweli mko serious na kazi ?
Omba omba usiombe ...mara Oya dogo nitoe buku basi ..mara nitoe elfu mia tano ..
Mkoa wa hovyo sana
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app