Morning pills

Tafakuru

Member
Dec 9, 2011
83
33
Wadau, nnaskiaga kuna kitu kinaitwa morning pills kwa wanawake. Naomba kujua matumizi yake na upatikanaji wake.

Ni swali kwa wanaojua na elimu kwa wasiojua kama mimi
 
Ukienda ofisi yoyote ya UMATI na baadhi ya Pharmacy za Dar utapata hizo pills...Wengi wanaziita morning after pills.

Ni emergency contraceptives ambazo mwanamke ambaye amefanya unsafe sex anaweza kuzitumia ndani ya masaa 72 kumkinga asipate mimba.

Watu wanaopinga utoaji mimba wanazipinga sana kwani zinazuia mimba iliyokwishatungwa kukua.

UNAWEZA KUSOMA ZAIDI HAPA


Babu DC!!
 
Back
Top Bottom