‘Morning Glory’ kwa wanandoa

‘Morning Glory’ kwa wanandoa

Baadhi washenzi kweli
kuna mwingine hadi anadiliki kusema eti unamtesa.Anakukubalia glory huku hadi choz linamtoka(si unajua walivo wepes kulia) bas unavaa kumkimbia kwa kumwonea huruma utasikia"kweli nimeamin unamambo yako unafanya huko!! "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo na nyie mna-pampu kwanguvu, eboo
 
Baadhi washenzi kweli
kuna mwingine hadi anadiliki kusema eti unamtesa.Anakukubalia glory huku hadi choz linamtoka(si unajua walivo wepes kulia) bas unavaa kumkimbia kwa kumwonea huruma utasikia"kweli nimeamin unamambo yako unafanya huko!! "

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh poleni tatizo nn kwan ndoani? Mi mbona napenda sana kwichikwichi. Hahaaaaha au ndo kuchokanaaa au mazoeaaa mnakosa ubunifu au naniliuuu hHa haa au auuuu au au ukoloniiii "shkamoo mme wanguu"..au kukosea kuchagua..au hamuogi vzuriii daaah hatar teh teh hwhew!!! Auuuuuuu ok kama mwenzio hatak kukulamba cjui kukunyonya usimforce.
 
Duu umenena vema na kama uko hvo mmeo anafaidi.Ila kuna mdau huko juu kasema ndoa zima misim(yaan mnyauko na kuchanua) ila kinachoshangaza kipindi penzi limenyauka wenzetu mnataka men ndo aliibue upya kumbe ilitakiwa mshirikiane!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mke ambaye anaweza kuamka saa 10 alfajiri aanze kulamba asali na kuvua shumizi huku anakupeti peti anapatikana duka gani mkuu...???

Maana wengi tulionao tunafahamu wakiguswa hata tako tu lazma wafyumu 🤣🤣🤣 na kusindikizia na kauli mojawapo katika hizi:
"Nshakwambia staki usumbufu nikiwa nimelala"

"Ntakupa nikiamka"

"Ukoje wewe niache nilale bana"

"Nimelala bana sitaki kero"

"Eeh eh umeanza usumbufu wako tayari"

"Argh, yani mtu asilale jamani"

Hahaaaa, nimecheka kama mazuri vile. Pole ndugu hilo ndio chaguo lako, pambana na hali yako.
 
Back
Top Bottom