‘Morning Glory’ kwa wanandoa

‘Morning Glory’ kwa wanandoa

Mkuu ile comment yako ya kwanza umenichekesha sana, mleta mada anaishi ulimwengu wa dhahania, unakuta huo so called ‘utukufu wa Asubuhi’ usiku uliuomba na ukaukosa kwa sababu zisizo na msingi then hiyo asubuhi unaupataje.
Ndoa ngumu sana ndiyo mana mimi imenishinda so nimerudisha mpira kwa kipa.
Ila wakuu mnachekesha sana yaani sanaaa,mkuu ndoa pasua kichwa ,mwanamke akikuzoea hakupi uchi mpaka 5to 7 day napo kwa binde aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi wanazinguaga kwenye kuduu sababu wanaume wengi mna ubinafsi yaan mkishakojoa nyie mnawaacha wenzenu na hamu zao sisi hisia zetu ni mbali maandaliz ni dk 30 mbka lisaa sasa io asubuh mda unakuta autoshi unakuta mwanamke ndo ana kaz ya kukusubir wewe ukojoe yeye wala hafill chochote.

Wanaume wengi mko zero kwenye maandalizi mtu hajatoka uteute eti mnapaka mate looh "puuh"
Limtu baada ya tendo ndo anauliza "kwani ujakojoa"?!.duuuh kama ni mimi nakuacha siku ioio.
Mkiwa mafundi hamtanyimwa.
Tena mueke akilini blow job ni kwa wanandoa waioridhishana usiku tuu.
Owa kwanza mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morning glory ni tofauti na chakula cha usiku, "morning glory inapigwa alfajir flani hivi kabla ya kutoka kitandani kila mtu anakuwa na joto flani mwilini , yaani raha nyie wacheni tu,shosti ukipata mume mgand, hii kitu ni ni tamu jamani
asante najua umepata asubui hii, baadae tuletee ushuhuda
 
Back
Top Bottom